Mi sijaona mantiki ya kujadili mtu kuhusu yeye mbowe kutokuwa kwenye mitandao kwani siyo mhim kwake mtoa maada jiangalie sana mitandao ya kbongo haina weredi kila mtu anapost anacho josikia so ni mhim asiwepo
Mamba 20 yaliyoachwa kwenye rasimu ya katiba - By PolePole
MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO.
Katiba Inayopendekezwa ina mapungufu makubwa na imeyatupilia mbali maoni muhimu ya wananchi kama...
Mh hapo shida sana tena nchi hii imekwisha ooza kila idara ya serikari vibari feki kweli jamani wakamatwe wote walio hujum uchimi wa nchi yetu masikini ila uchaguzi waja jaman tufanye kweli.
Kweli mkubwa Jp Omuga hivi kwanini kila kukicha wanajenga bara bara hasa za dar tuu kwann? Naomba mnisaidie kwa mfano barabara ya mbande ,chamazi, mbagala na hiii ya kilwa Road fedha hizi wanapata wapi?? Za kila kukicha bajeti ya hayo mabarabara tu je utaniaaminisha aje kuwa ccm wasafi mkuu mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.