mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Itakuwa imekufa kweli ccm Zanzibar
Shaka anatia shaka kama jina lake lilivyo, alipaswa kumshangilia Shein, kumfurahia na kumchekea Mkubwa hakosei. Hahahahahaa CCM CCM hao
MANI pita huku fasta
Ndio yule "Mama" wa Jussa kwenye Bunge la Katiba??Ana Dental Formula kama ya Ngiri??
Hakuitwa m-CHADEMA kama mimi niitwavyo humu JF? Kiukweli,chama kina hali ngumu.Hatutachoka kusema ukweli humu na kwingineko.
Mzee Tupatupa
Hivo ndivo inatakiwa kiongozi awe,kamata,weka kizuizini,ndo heshima inakuja.
unadhani bila nyerere kutumia utaratibu huo wakina james mapalala na kina kambona si wangempanda kichwani.
haaa haaa!Hivo ndivo inatakiwa kiongozi awe,kamata,weka kizuizini,ndo heshima inakuja.
unadhani bila nyerere kutumia utaratibu huo wakina james mapalala na kina kambona si wangempanda kichwani.