Recent content by WAMBURA BONIPHACE

  1. W

    JamiiForums Tanzania Msekwa asema kilichotokea kwa Mugabe ni kipya

    Huyo unayemzungumzia hana tofauti na mgabe maana mzee msekwa yuko sawa maana balozi atatoa msimamo unaoelekeana na aliyemteua.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msekwa asema kilichotokea kwa Mugabe ni kipya

    Ndo wajifunze na wamshauri yule mwingine ajue kuna mwisho
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe atoa ruhusa kwa TAKUKURU kuwachunguza Lowassa, Sumaye na Nyalandu juu ya Ufisadi

    Kwani mbowe ndiye siku hizi hutoa ruhusa kwa takukuru kufanya kazi ?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: Tukishinda elimu itakuwa bure

    Kaka hayupo mwana ccm mwenye nia ya kweli kuhusu maisha ya watanzania kwani wao lengo lao ni kutawala wether tunataka au hatutaki na watakaojitokeza hapa watakuja kutukana tu!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa MDC ni ishara ya waafrika kujitambua!

    Yani wewe ndiye kibaraka wa mawazo hivi unadhani kushindwa kwa odinga na mdc nako ni kujitambua kwa waafrika? hujui kuwa kuna kuna haki ya maoni ya watu imeshindwa kuthaminiwa ikiwa ni kama wewe na waliokutuma mnavyotumia mbinu nyingi kuuzima upinzani mfano UGAIDI?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Chifu wa Usafwa na wengine makumi wahamia CHADEMA

    Hapo pako poooooooooooooooooooooooooooowaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CHADEMA kila mahali?

    Ndicho chama pekee chenye matumaini na chenye kujibu matatizo ya watanzania wanyonge.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Museveni agoma kuondoka TZ

    wana magamba kwa kuunga mkono ujinga hawajambo,big up Kenyata!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Kiukweli jeshi letu siyo tu kwamba limekosa heshima bali limebadilishwa kuwa taasisi ya watu binafsi(ccm)ili kulinda maslahi yao na kuwasahau watanzania.mimi binafsi nina imani ya asilimia 0 na jeshi la polisi
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyochomwa na FFU Mtwara

    Mie nahisi ni dalili njema za ukombozi ambazo hata baadhi ya watendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaamua kukubaliana na mabadiliko hayo lakini ktk njia ambayo siyo rahisi wananchi na mtu mwingine kuamini kuwa kinachohitajika ni mabadiliko na wanatumia njia hii kutokana na sheria na...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nasema sitashangaa kusikia CHADEMA na CUF kuhusika na fujo za Mtwara.

    Acha mawazo ya kinafiki yasiyo kuwa na tija na yenye kila aina ya kufukuzia viposho,kwani Watanzania walio wengi wanakubaliana na mawazo ya wanamtwara kuwa gesi itawanufaisha vipi kama wenyeji wa eneo husika na siyo kuwanufaisha wakubwa wanaojali ndugu,rafiki na familia zao na hasa wakiangalia...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kinana azuiliwa kushiriki midahalo ya wazi

    Wote wananuka kila aina ya uchafu hakuna hata mmoja mwenye haki ya kumnyooshea mwenzake kidole na ndiyo maana kila anayefichuliwa kuwa ni fisadi anapewa madaraka na huu ni mpango mahususi ili wananchi wao wenyewe waone,wapime,waamue na wachukuwe hatua thabiti!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Home Shopping Centre wazusha taharuki Kariakoo

    Bila kuing'oa ccm umasikini hautaisha kamwe kwa watanzania!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kuunga hoja 1oo%

    Tatizo siyo wabunge bali ni chama chao cha ccm,kwani falsafa yao inasema weka mbele maslahi ya chama kwanza badala ya wananchi na ndiyo maana mbunge yeyote anaeonekana kuwasema vibaya viongozi ccm hata wale wa kitaifa huitwa ktk vikao vyao na kutishiwa kufukuzwa uwanachama mfano ni ktk kile cha...
Back
Top Bottom