Recent content by Wambie Wasikie

  1. Wambie Wasikie

    Tunza Beach na Malaika Beach resort nimewavulia kofia, Dar chamtoto

    Wakati wa usahihishaji na usimamizi wa uchaguzi
  2. Wambie Wasikie

    Rais Samia, hii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo

    Wanayumbisha sanq na haya majina yao. Kwa nini tusiwe na jina fupi linalojumuisha yote haya? "WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA MAKUNDI MAALUM" Hizo mbwembwe za wanawake, wazee, watu wenye ulemavu, n.k ziingie ndani ya makundi maalum
  3. Wambie Wasikie

    Tunza Beach na Malaika Beach resort nimewavulia kofia, Dar chamtoto

    Nilitegemea utasema umekutana na mwalimu hapo
  4. Wambie Wasikie

    Natafuta rafiki wa kiume

    Sasa huyo ni kijana? Nenda shortcut tu, badili HEADING useme, "Natafuta Mbaba"
  5. Wambie Wasikie

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Post zako zote mwandiko wa kiume... Salute
  6. Wambie Wasikie

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    😆🤭 Unakuwa na tabia za wanaume wanavyochagua maneno na jinsi ya kuyaeleza
  7. Wambie Wasikie

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Mwandiko wa kiume... Mada ni kumuonea huruma ila hitimisho ni kuomba ushauri... JF imebadilika sana
  8. Wambie Wasikie

    Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

    Kwa idadi ya nyuzi ulizowahi kuanzisha hapa juu ya hili kanisa, malalamiko yako yanakosa mashiko
  9. Wambie Wasikie

    Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Hapa inabidi ujichunguze wewe... Huna ujuzi wa huduma kwa wateja japo maarifa unayo. Ukiwa na ujuzi huo hutawachoka badala yake utawatafutia namna ya kuwapunguzia maswali
  10. Wambie Wasikie

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Lakini hiyo faida kala pesa za watu wake wake wa karibu aliowaalika... Kapigwa UAMINIFU
  11. Wambie Wasikie

    Ushoga wa hawa malegend wa soka umeniacha hoi sana

    Anasambaza ili ahalalishe chama... Promo
Back
Top Bottom