Recent content by wambeke

  1. wambeke

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujenga ukuta Mererani, Tanzanite inapitishwa kama kawa na magari ya serikali na hayakaguliwi!

    Madini yanalindwa na Sheria sio Ukuta. Akili ya Jiwe anaijua mwenyewe
  2. wambeke

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Jiwe hana kosa. Ila wateuliwa ndio wanamakosa
  3. wambeke

    JamiiForums Tanzania Nape Mosses Nnauye, ya nini kujibizana na watu kwenye Twitter? Ona sasa mpaka unaita watu ' wanuka maziwa… '

    Kama hamtaki kunuka maziwa acheni ushamba wa Madaraka
  4. wambeke

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

    Hatuna waaandishi
  5. wambeke

    JamiiForums Tanzania Hii page 'Mwalimu wa Kiswahili' sio matapeli?

    Wewe ushapiga wangapi? Wewe lipa afu uje kutwambia imekuaje
  6. wambeke

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hawafuatilii ipasavyo vikao vya Bunge la Bajeti vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Duuh mie mwenyewe sijui kama kuna kikao cha bajeti. Acha wafu wazikane Mkuu
  7. wambeke

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji yakanusha taarifa za kukataa kutoa kibali kwa Mkurugenzi wa Vodacom raia wa Kenya

    Mitanzania bwana.sasa kwanini limekanusha si bora ingebaki hivyo hivyo ili huyo Munguki asije.
  8. wambeke

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, hawa watu wako TRA wanachokifanya utachukiwa milele

    Ndio maana kukawa na jamii.ahsnate Kwa kuleta taarifa hii .itafanyiwa kazi
  9. wambeke

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Maaskofu Katoliki, "Kama Rais ameshindwa kazi" ang'atuke!

    Ha ha ha ha. Shikamoo mdogo wake Shigongo
  10. wambeke

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe kusoma nchi za nje haimaanishi umetokea kwenye familia ya kitajiri

    Ahsnate sana hata Mwanangu ntamsomesha nje
  11. wambeke

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu, lazima kuna kitu kinakosekana kwenye Serikali ya rais Magufuli

    Hongera kwa uchambuzi uliotukuka. Karibu tena baadae
  12. wambeke

    JamiiForums Tanzania Ravinder Kaushik ''Black Tiger'' : Jasusi mbobezi aliyefia jela ya ugenini

    Hizi kazi ni ngumu sana
Back
Top Bottom