Recent content by wamaukweli

  1. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Kiukweli dunia ni ya wachache

    UKWELI Mungu akubariki
  2. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Kiukweli dunia ni ya wachache

    Samahani kwakusema ivi labda nitakukwaza ila umejaribu kuhama mkoa?mara nyingi mkoa uliozaliwa na kukulia ningumu kutoboa,Je unakoishi unaweza kufuga maana ufugaji Hawa wakuku broila unalipa sana kwamuda mfupi
  3. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

    Haki nimekushindwa tabia
  4. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Bado ujaeidhika na vitatu
  5. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Kwani so tukio limeshatokea tayari,maana najichanga nataka nipande angalau ndege na Mimi niende kufurahisha macho
  6. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia kuwa dogo anataka kuwa askari ni nani?

    Kunywa Pepsi big nakuja kulipa
  7. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia kuwa dogo anataka kuwa askari ni nani?

    Tofautisha polisi wa kaki na jeshi wasije wakakucheka mkuu
  8. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia kuwa dogo anataka kuwa askari ni nani?

    Tuanzie kima Cha chini alieajiliwa kutoka jkt tuone kama unafahamu?kabla ya kijana kuomba mkopo baada ya miaka 4
  9. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia kuwa dogo anataka kuwa askari ni nani?

    Kujiajiri SI vibaya ila apo anahuakika wa maisha bila shuruti yoyote,haijalishi anapokea mshahara tarehe ngapi ila kama anahuakika wa maisha mbona freshi tuu,kama ataamua kuendekea n biashara yake anaweza Fanya ata kama ameajiliwa na serikali
  10. wamaukweli

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jamani jamani kunguni ndani ya MV Victoria zitatuua

    Pole kwani umebeba wengine umewapeleka nyumbani,jitahid kufanya usafi na dawa za kuulia wadudu mara Kwa mara
  11. wamaukweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mke wangu

    Amekuchukia kwasababu ya mimba na anavyofanya ivyo moyoni mwake anakuwa na amani sana,usijali mwanamke akikuchukia sana anakuletea kopi yako,akishajifungua utashangaa anabadilika kabisa
  12. wamaukweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Ninachangamoto ya kukosa hamu na mwanamke hata nikiwa naye 6×6

    Anajua wapi amepuyanga akatengeneze na wife tuu,akiweka mambo sawa mnara utasoma 5G
  13. wamaukweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Ninachangamoto ya kukosa hamu na mwanamke hata nikiwa naye 6×6

    Kayaweke mambo sawa na mkeo
Back
Top Bottom