Recent content by WALUKO1

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Ndiyo
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Bado niko nae tunalea familia, msalaba ni wangu nitaubeba hadi hatua ya mwisho niliamua ivo ingawa mpz yaliisha yamebaki mazoea na kama baba wa familia ila nimejikubali naishi kama single mother kwaajili yangu na watoto napambana kisawasawa na Mwenyezi Mungu ananisimamia.
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Hahahah sura kaka
  4. W

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    🤣🤣
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    1. Kubadilika alianza mapema tu wakati mtoto wetu wa kwanza akiwa mchanga sasa anamiaka kumi 2. Usaliti pia umewahi kutokea kipindi nalea 3. Namheshimu na kumthamini, kumpenda kweli moyo umejaa maumivu zaidi 4. mshahara wake naufahamu, najua kuna marupurupu anapata ofisini kwao ingawa yeye...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Binafsi najua maisha ni kusaidiana labda niliingilia majukumu yake, lakini inakuaje mtu anaondoka hajaacha pesa ya kula kwa ajili ya watoto wake na ukiangalia mifuko haina kitu! au kuboresha makazi hali uwezo upo. namehishimu kwakua hata mama mkwe kwa uelewa wake anahisi mwanae ndo anafanya au...
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Sijawahi binafsi naona ni kujidhalilisha kwa watu na kuwapa faida ndo maana nimeona nilite uku alafu nifanye maamuzi uku nikimuomba Mungu.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Kuondoka siwezi, kwakua ili kuepuka garama za kodi ilibidi ninunue pagale ambalo tunaishi sasa nilimshirikisha wakati wa kununua ingawa niliandika jina langu baada ya kuona mwenzangu aheleweki
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Asante mkuu
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

    Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu. Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja siku zilizofuata akawa anarudi saa saba usiku na kuendelea, nakumbuka siku msimu wa Crismas aliondoka...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Vikawe, njia ya Bagamoyo

    Yaani unanitonesha kidonda ndugu nami niliuziwa miaka miwili iliyopita hadi leo kesi ipo serikali za mitaa, wameshanipa viwanja 3 kila wanachonipa kinamgogoro, nikawaambia wanirudishie pesa yangu hadi leo sijapata Roho inaniuma sana nikikumbuka jasho langu ila naendelea kufatilia
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kero tunazopata kwenye Nyumba za kupanga

    Kero za nyumba ya kupanga ni kujenga yako, hata vyumba viwili, mama mwenye nyumba yangu anataka kodi ya mwaka! Luku yenyewe ya kuchangia! Nimeamua kujilipua mkopo 30m nimenunua pagale vyumba 3 kiwanja miguu ishirini mjini, nimepiga magril nyavu za mbu nimechoka na kero zao, mama kwaheri
  13. W

    JamiiForums Tanzania Asante JWTZ Mgulani Sabasaba: Mmeokoa maisha ya familia yangu!

    Ha ha ha kama sio kilingala basi ni mambo screen touch hayo!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa za kienyeji za kutibu kuku

    Ngoja nami nihifadhi
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    Msamehe kwa ajili ya machozi ya ndugu wazazi na watoto wake aliowakana, kijana na jirani yako wamepata somo tayaric
Back
Top Bottom