Recent content by walonge

  1. W

    Kauli mbiu ya Lowassa ina utata!

    unatofautishaje kati ya mtu masikini na hali yake ya umasikini?
  2. W

    Kauli mbiu ya Lowassa ina utata!

    Wadau, nimejaribu kuidadisi na kuichambuwa kwa kina kauli mbiu ya Mh. Edward Lowasa kuwa "ANAUCHUKIA UMASIKINI" nahisi ina utata na pengine ni ishara ya kumjuwa ukweli wa moyo wake. Hebu tujiulize kwa kiswahili sahihi mtu akichukia umasikini ni vigumu kumpenda masikini sababu umasikini ni hali...
  3. W

    Hoja za Kijinga: Kukataa Uraia Pacha kwa Sababu za "Uzalendo" na "Usalama"

    Nakubaliana kabisa ni UJINGA wakati ukiangalia Tanzania kinadharia inasema haikubali RAIA PACHA ilihali kiHALI HALISI inao uraia pacha. Tazama kuna mzanzibar mwananchi wa zabzibar kwa maana nchi ya zanzibar na hapo hapo ni RAIA halali wa Jamhuri ya Tanzania. Hapo hawaoni ujinga wao wakukataa...
  4. W

    Serikali yapigilia msumari kwenye uraia pacha

    Natangaza maandamano ya amani kwa wazazi,ndugu na marafiki wote wa jamaa zetu tanzania kuelekea uhamiaji kudai haki sawa kwa raia wote. Katiba haituzuii kuishi nje kwa nini tutengwe kwa kuishi nje? Hakuna anayepa uraia wa nje kabla hajafanyiwa security background ya alipotoka na kwa tanzania ni...
  5. W

    MwanaKijiji: Hili ndilo jibu la hoja ya uraia pacha!

    Nimewasoma na kuwalelewa vizuri wachangiaji wengi wa mada hii. Mkandara, mwanakijiji na mkuu Kibanga na wengineo woote mna mawazo yanayonyesha ukomavu wenu katika kuieleza jamii juu ya raia pacha au zaidi. Binafsis nasema hivi, ili tuweze kujenga joja nzuri na pengine kuweza kushawishi umma...
  6. W

    Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    Jamani kuna lakujivunia kwa raisi kuwa na ndege nyingi za kivita na serikali yake kukosa hata ndege moja ya kubebea abiria kwa maana raia? Je, kweli tumelisaafisha taifa au ndio tumezidi kuoneka warudi wazimu kama sio waenda wazimu? sina maana ulinzi hauna maana ila siamini kama kweli tunaweza...
  7. W

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    Mheshimiwa mwigulu, Mimi naunga mkono wazo lako na haya ni mawazo yangu katika kuiboresha hiyo hoja. Ningeshauri badala ya kutumika utaratibu wa kujiandikisha kupitia ma DC labda wahusika wakajiandikishe moja kwa moja wizarani kuendana na taaluma zao. Mfano, wale wenye taaluma ya comuta...
  8. W

    Sababu zinazosababisha wasiwasi wa kutoweka kwa amani yetu.

    Wana JF, nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana mijadala mingi na mirefu iliojaribu kuonyesha ni vipi nchi yetu ina angukia kusiko tufaa ki amani na usalama.wengi mmeongea mengi na kati ya yote yapo yanayoonekana kuwa karibu na ukweli na yapo yasio kuwa kweli kwa maana yasioingia akilini...
  9. W

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Kwanza nikupe pole kwa majukumu na kazi zinazokukabili siku zote ukiwa kama waziri. Binafsi ni miongoni mwa watanzania wanaoishi nje ya mipaka ya nchi yetu. Niliwahi kuvutiwa sana na kauli ya mara kwa mara iliwahi kutolewa na muheshimiwa Rais Dkt J.Kikwete wakati akiwa anazungumza na watanzania...
  10. W

    Je kuna la kujifunza na mgomo huu wa wafanyakazi wa air canada?

    Ndugu, ukweli lipo la kujifunza ambalo ningependa kukushirikisha na wewe.Kimsingi hapo kuna kitu ambacho wengi mnaweza msikione nacho ni kwa namna gani wenzetu wanaendesha migomo na ni kwa namna gani serikali inaitatuwa. Utaona tangu mgomo huo uanze mazungumzo yalikuwa baina ya wawakilishi WENYE...
  11. W

    Je kuna la kujifunza na mgomo huu wa wafanyakazi wa air canada?

    TORONTO - Union officials say a wildcat strike by Air Canada ground workers that started in Toronto and spread to other airports is over. Union spokesman Bill Trbovich says three workers were suspended after Labour Minister Lisa Raitt was heckled while walking through the airport late Thursday...
  12. W

    Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

    Lada wanafikiri kwa kuwarudisha ni kuwapatia mgogoro CDM !
  13. W

    Kikwete ajisafisha Dowans

    Hainiingii akilini kwa rais kuonyesha msimamo tofauti na waziri mwenye dhamana ya mamlaka aliyopewa na rais. Mimi naamini waziri yule aliwasiliana na rais kupata kujuwa msimamo wake kabla ya kutowa kauli ya serikali kwa mujibu wa mamlaka yake. Ikiwa ni kweli msimamo waliokubaliana umebadilika...
  14. W

    Mapungufu haya ya JK yamenibowa

    Jamani naomba aliyekaribu na JK amjulishe kuwa sikufurahishwa na haya yafuatayo na ndio sababu namuhukumu kama alisema hivyo ila atatenda sivyo. 1) wakati wa kusherehekea kupewa kwake urais mbele ya NEC, yeye mwenyewe alikiri kuwa yapo mambo mazuri ambayo wenzake yaani vyama vingine vya siasa...
  15. W

    Wingi Wabunge wa Zanzibar wana umuhimu gani Bunge la Muungano

    sio siri hata mie haiingii akilini. Dar yenye watu zaidi ya milioni saba ina wabunge wasiozidi 10 iwaje zenji mathalani unguja pekee iizidi dar kwa idadi? Hapana imefika mahali tuseme hapana imetosha!!!!!!1
Back
Top Bottom