Wadau, nimejaribu kuidadisi na kuichambuwa kwa kina kauli mbiu ya Mh. Edward Lowasa kuwa "ANAUCHUKIA UMASIKINI" nahisi ina utata na pengine ni ishara ya kumjuwa ukweli wa moyo wake.
Hebu tujiulize kwa kiswahili sahihi mtu akichukia umasikini ni vigumu kumpenda masikini sababu umasikini ni hali anayokabiliwa nayo mtu masikini. Sasa utawezaje kumsaidia mtu unayemchukia?
Ikiwa kinyume cha umsikini ni utajiri je, kauli hiyo ya kuuchukia umasikini wa masikini walio wengi Tanzania, haitoshi kua​mini kwamba anaupenda Utajiri wa matajiri walio wachache Tanzania?
Watanzania tumshukuru mungu walau hili lowasa kaliweka sawa na tumefunuliwa yaliomoyoni mwake.