Recent content by Wall street

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kukwepa mizinga!

    Waambie straight unataka nini. kunyimwa sio kukatwa shingo. ukinyimwa tembeza kiatu katafute mwingine, wasichana sio 12 kama disciples wa yesu.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa tatu sasa, atakuwa ananionaje? This is too much

    A woman never jumps unless she exactly knows where to land Huyo ana mtu wake, wewe ni plan b, subiri siku wakiachana,, she will run straight to you
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ila hawa meridianbet kuna muda wanatia hasira aisee, jumamosi na jumapili network yao inakua imelewa karibia siku nzima, nimefanya deposit za 500k Mara mbili zote hazijaingia kwenye account, Nikipiga customer care wananiekea miziki tu mpaka dakika 7 afu salio linaenda tu,pumbavu zao
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwema wakubwa, vipi jamani hawa wazungu wanatoa hela au wanabana kama kawaida, nilipotea kama miezi hivi kuna bosi mmoja mpuuzi nilibishana nae akanipangia kazi porini huko hata network ya kuongea tabu tupu, nimerudi wakubwa kwa pamoja tumsake mzungu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unaweza kujaribu hii
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kawaida tu, kuna kipindi tunastake mpaka M2 timu moja
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inplay hio
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya sasa
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    In play nakuja na odds 3 sasa ivi, mshindwe wenyewe
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanne Mkoani Musoma wamehukumiwa kwenda jera miaka 150 baada ya Kupatikana na kosa la wizi wa kutumia siraha

    Mkuu mahakamani mtu anaweza kushtakiwa kwa makosa hata 100, kila kosa Lina hukumu yake, ndo maana hua unaskia count1,count2,count3 na kuendelea, hukumu haitolewi kwa pamoja, kila kosa Lina hukumu yake Mfano katika hayo makosa mia ukipatikana na hatia makosa yote let's say kuna hukumu za miaka...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanne Mkoani Musoma wamehukumiwa kwenda jera miaka 150 baada ya Kupatikana na kosa la wizi wa kutumia siraha

    Ndo maana nimekwambia kisheria ina maana yake, marekani alifungwa mtu miaka laki tatu
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

    No goal labda kama anacheza in play betting dakika ya 80 huko, no goal kuanzia game inaanza?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

    Kwani sijaweka loser tickets hapo mkuu?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu yangu kwa siku unaweka tips kama 40, zikishinda 5 unakuja kutusumbua!!!
  15. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanne Mkoani Musoma wamehukumiwa kwenda jera miaka 150 baada ya Kupatikana na kosa la wizi wa kutumia siraha

    Kijana kama hujasomea sheria huwezi kuelewa kwanini wamefungwa miaka 150, sheria ni uwanja mpana sana, Marekani kuna MTU alifungwa miaka laki 3 jela
Back
Top Bottom