Recent content by Walker Roar

  1. Walker Roar

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Napatikana Ilala Banana Dar es salaam , Mkuu Ni wiki km Tatu sasa Hatuna Umeme Sababu Mita No. Ni Mbovu Tulichukua hatua ya Kuwataarifu TANESCO Waweze Kufanya Marekebisho Lkn walisema inatakiwa Kubadilishwa tupatiwe nyingine mpya Lkini Tunaishia Kuambiwa Tutakuja Kesho . TAMBUENI KUWA UMEME NI...
  2. Walker Roar

    Hakika Wachina wana Mungu wa Kweli

    No Your still Learning Bud, Kwani China Imepata COVID19 Ndani Ya Mwezi Mmoja...? Ukifatilia Vzr ni Kwamba CHINA walianza kupata COVID 19 toka Mwezi Wa 12 Last Year.[emoji41] Alafu Keep it in your mind That MUNGU hapimwi kwa Mafanyikio Unayoyaona Km Nyumba, Gari na vitu vyakuvutia km Hvy Bali...
  3. Walker Roar

    Duka la MSD Muhimbili lazidiwa idadi kubwa ya msongamano wa watu kununua Sanitizer: Ikumbukwe liko moja kuhudumia Dar na Pwani

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatar Kaka Sent from my AUM-AL00 using Tapatalk
  4. Walker Roar

    Dr. Mwakyembe ukumbuke kuna Corona

    Tanganyika Hujaeleweka vizur mkuu Sent from my AUM-AL00 using Tapatalk
  5. Walker Roar

    Naomba kufahamu kuhusu kozi ya Animal health and production

    Habari zenu wakuu Kwa yeyote anayejua au mwenye ufahamu juu ya course hii Animal health and production basi achangie kwa kule anachokifahamu aidha iwe ni changamoto zake, inahusiana na nini n.k Karibuni wakuu.
  6. Walker Roar

    Tambo za Shekau : Akifanikiwa kuivamia Africa Kusini atathibitisha nguvu ya Boko Haram

    Boko haram.. Kuingilia hili suala naona watakua wanataka vita vya wazi tuh na serikar ya south sababu ukwel ni kwamb hata viongozi wa nchi wanakubaliana na xenophobic racism
  7. Walker Roar

    "Unikumbushe nikupe hela yako"

    Haisee mm nitamkumbusha, then atanipa ela yang pia haitaishia hapo nitamkopa kiasi cha fedha alaf na mm nalipiza mara mbl ya usumbufu[emoji56][emoji56][emoji56]
  8. Walker Roar

    Janga la kujichua kwa vijana

    Sawa mkuu nadhani nimepata kitu ambacho nlkua sikifahamu [emoji11][emoji11][emoji11][emoji11] Ett mke anaweza akasababisha watu wajihudumie wenyew [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Walker Roar

    Janga la kujichua kwa vijana

    Nimezungumzia vijana ama jamii kwa ujumla sio mm
  10. Walker Roar

    Janga la kujichua kwa vijana

    Habarini za sahiv wakuu. Je, ni sababu zipi zinapelekea vijana wanajikuta wanaingia kweny Janga la kujichua? Kuna maswali yakujiuliza hapa: 1. Ni kwamba bahadhi yao hawawezi kujieleza au kutongoza? 2. Ni jambo ambalo ukilianza huwezi kuliacha? 3. Wasichana wanakaza kamba wakifatwa? 4. Hali ni...
  11. Walker Roar

    Vijana wengi hatarini kupata ugonjwa wa kiharusi

    Ni kweli kabisa nakubaliana na nyie wakuu maana vijana wanashindwa kukumbuka kuwa wanafurahi kwa muda lkn wanatesa mihili yao
  12. Walker Roar

    Ukitapeliwa usifanye haya. Ni janga!

    Jumong S, Naweza nikasema utapeli ni Jambo ambalo linafanya mtu kuloose control, then mtu ataajiita majina yote mara ooh mimi fala, bwege, mjinga ect
Back
Top Bottom