Recent content by Walid Mchimae

  1. Walid Mchimae

    Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

    Wezi watafurahi sanaaaaaa
  2. Walid Mchimae

    Miujiza 40 ya mtume Muhammad (S.A.W)

    Aaaaaaaah nimechek sna
  3. Walid Mchimae

    J COLE na mzigo "KOD"

    Moja ya album kali kabisa za Hip Hop kwa mwaka 2018 mpaka sasa. Production on point and carefully structured. Cole na flow za hatari ndani ya mzigo huu matata. Ngoma Kama 'Once an addict' 'ATM' na 1985 zinafanya mzigo huu usimame ipasavyo. He crucified all the new wave rappers on 1985. Nadhani...
  4. Walid Mchimae

    J COLE na mzigo "KOD"

    Moja ya album bora kabisa za Hip Hop mbaka sasa kwa mwaka 2018. Production on point & carefully structured. Cole na flow ya hatari ndani ya mzigo huu mpya huku akiwa Na maudhui ya hatari ikiwa pamoja na kuendelea kutetea nafasi ya mtu mweusi ktk jamii.. He crucified all the new wave rappers on...
  5. Walid Mchimae

    Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Asee ninyi na hivi vitabu vyenu mtajua wenyewe. Unapowatolea mfano wachina na watu wa jamii ya Buddha wao waliishi karne Na karne kabla ya ujio wa hizi dini zenu Na mafunzo yake lakini walikua wakifahamu lipi baya Na lipi jema. Hizi habari za siku ya kiama zimekuja Na hizi dini za Ibrahimu. Wao...
  6. Walid Mchimae

    Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Hukumu Yao kvp?? Huitaji Biblia au Koran kutambua baya au jema. Binadamu anazaliwa na pale anapokua jamii inamfunza lipi baya na lipi jema. Hivo matendo yao ndiyo ushahidi kwa mungu.
  7. Walid Mchimae

    Dr Sebi, Renowned Holistic Doctor

    “When an old man dies, a library burns to the ground.” – African proverb In the wake of more than 50 holistic doctors dying in questionable circumstances few years ago, Dr. Sebi — known as the man who developed an all-natural cure for AIDS, cancer, diabetes and other diseases — died while...
Back
Top Bottom