Recent content by Walec

  1. Walec

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

    Unafahamu kpato chake?
  2. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

    Kataa mazoea,ataishia kuku friendzone tu
  3. Walec

    JamiiForums Tanzania Sauda Mwilima Yuko wapi?

    Aah yule mtoto alikua kiboko,sauti, macho dah
  4. Walec

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Dodoma mkuu
  5. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uliwe Uliwezaje kupiga Goli Mbili nzima maeneo ya ofisini?
  6. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni Kweli mwanamke akiamua kafanya lake anafanya,lakin kuna baadh ya mambo hutakiw ku entertain, mfano mkeo au demu wako awe na marafik wengi wakiume na ww ukaona ni sawa tu eti kisa akiamua kuliwa analiwa,noo kuna vitu hutakiw entertain kabisa.
  7. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Inafikirisha sana[emoji23]
  8. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kote umeandika vzur,ila mwishoni tu hapo i ll never look for another women,tayari obsession hiyo na itakumaliza taratibu [emoji2]
  9. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upi umri sahihi wa kuzidiana kati ya mume na mke?

    Umri ni tatizo, Binti akikuzid umri Mwanaume basi atakuona kama kijana wake tu,Tatizo linaanzia hapo.
  10. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upi umri sahihi wa kuzidiana kati ya mume na mke?

    Nitakuja na Uzi kamili, stay put
  11. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upi umri sahihi wa kuzidiana kati ya mume na mke?

    Men, Here is our fossil calculator: - Divide your age by 2. - Add 7 or 8 or 9 or 10 (7,8,9,10) - That should be her age. Y = X ÷ 2 + (7/8/9/10) X is your age. Y is her age. Be patient. Don't rush.
  12. Walec

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Unajua jamaa yeye ndo kakolea,alafu demu yupo kimkakati sasa [emoji23], ni aibu mwamba ana kili eti anampenda kiukweli [emoji23]
Back
Top Bottom