Nataka kulima mpunga mwaka ujao ila maandalizi nafanya mwaka huu nimefanya mchanganuo kuanzia kukodi shamba, maandalizi ya mbegu pia kulima na pesa ya vibalua.
Habari wadau wenzangu wa Jamii Forum, naomba maoni yenu juu ya kilimo cha zao la mpunga. Napenda pata mawazo yenu juu ya suala zima la kilimo cha mpunga katika kujikwamua kimaisha, nimepata kiasi kidogo cha mkopo nataka peleka katika kilimo ili maisha yaweze songa mbele. Mchango wenu wadau.
Wadau nipeni mwanga hapa kwanini smartphone aina ya iphone ni ghari sana? Pia kwanini watu maarufu walio wengi hupenda kununua smartphone za iphone kuna nini cha zaidi?
Sio yamawazo kiongozi ila nilijipanga kwa muda mrefu, napenda simu imara na yenye uwezo mkubwa, pia ninayoweza kukaa nayo kwa muda mrefu pasipo kuichoka.
Wadau nisaidieni hapo kuna kahela nilikuwa naweka ni muda sasa kametimia nataka kununua smartphone nzuri sasa napata utata kati ya Samsung galaxy not4 na Iphone 6 ni lipi chaguo bora?
Chief Mkwawa nisaidie hapo kuna kahela nilikuwa naweka ni muda sasa kametimia nataka kununua smartphone nzuri sasa napata utata kati ya Samsung galaxy not4 na Iphone 6 ni lipi chaguo bora?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.