Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
Blog ya @burudanimbeya wanakupa taarifa ya utoaji wa Tuzo Kwa wanasanaa wote nyanda za juu kusini ikijumuisha wanamichezo na dhumuni la hizi Tuzo ni kuonesha kutambua mchango wa watu Hawa hapa nyumbani.
Kikubwa tulichovutiwa SISI ni namna ya mchakato wa upigaji kura ulivyowekwa kisasa...
Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo zaidi na namna ya kupiga kura fuata link hii
BIG 20
Hii ni project/movement iliyoanzishwa na media personalities pamoja na wadau wa Muziki jijini Mbeya lengo kuu ikiwa ni kuhakikisha kuwa Muziki na wanamuziki wa mkoa wa Mbeya wanapata jukwaa huru na la uhakika katika kufanya kazi zao.
Wakiongea na jukwaa hili waratibu wa movement hii...
Mnamo Juni 1999, taasisi ya Uholanzi ya Madunia ilirekodi hali Halisi, Makala ya video ya dakika 30 kuhusu rap nchini Tanzania (Afrika Mashariki).
Hali Halisi "hali halisi" msemo unaonyesha rap kama chombo mbadala nchini Tanzania. Rapa na wataalamu wanatoa maoni yao kuhusu miondoko ya hip hop...
BONGO FLEVA NI STORY YA SUGU, MIKE NA TAJI
JOSEPH Mbilinyi ‘2 Proud’, kazi yake “Ni Mimi" ndio wimbo wa kwanza wa Swahili Rap kusikika Radio One Stereo mwaka 1994. Vilevile akawa Rapper wa kwanza wa Swahili Rap kufanya mahojiano Radio One.
Mike Mhagama, alikuwa mtangazaji wa kwanza kugonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.