Recent content by wakuwin

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mume wake anawamini marafiki kuliko mke wake

    Walikua wanaishi maisha ya kawaida baada ya mwanaume kujenga na kununua gari ndo izotabia zikajitokeza, alishakaa chini akamwambia mumewe nikiasi gani ilo jambo linavyo muumiza lakini yeye mwanaume aoni kama kunatatizo kumwachia ndugu yake
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mume wake anawamini marafiki kuliko mke wake

    Ndoa yao inamiaka nane na wana watoto watatu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mume wake anawamini marafiki kuliko mke wake

    Wakuu, Nahitaji ushauri ninarafiki yangu ameolewa lakini amekuwa amwelewi mume wake, yaani mme wake anaamini ndugu zake kuliko mke wake, waga akisafiri funguo za gari anamwachia ndugu yake ambaye ni mdogo wake kodi za wapangaji mdogo wake ndo anapokea. Akimwambia kwanini anafanya hivyo...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu inajiwasha data hata nikiizima

    Habari wana jf wenzangu! Naombeni msaada ninatumia cm aina ya lg lakini nashangaa tangia Jana nikizima data inajiwasha yenyewe pamoja na Wi-Fi zinawaka kwa pamoja alafu Mara kuna matangazo ya apps yanajitokeza kwa wingi sijui tatizo nini, maomba mwenye ujuzi na mambo ya cm anisaidie
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukipendewa hiki, jua umeumia sahau ndoa

    Mh Kazi kwelikweli
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nimueleweje huyu mwanamke?

    Eti ujamla kwani kawa chakula, maneno mengine bwana ya kudhalilishana khaaaa!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ninamdogo wangu anatafuta Kazi za viwandani, elimu Yake ni fm4 ila akupatacheti, msaidieni jamani
  8. W

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuacha mpenzi wangu ingawa nampenda sana, nafikiri haniamini au ana tatizo

    Kwaiyo ww umekaa tu una ishu yoyote ya kukuingizia kipato,,alafu unategemea usiibiwe.........mapenzi pesa
  9. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuunganisha sauti ya TV kwenye Radio

    Waya ninao nimejaribu kuunganisha nimeshindwa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuunganisha sauti ya TV kwenye Radio

    Naomba kuelekezwa vyote
  11. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuunganisha sauti ya TV kwenye Radio

    Kuconect sabufa na flat screen
  12. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuunganisha sauti ya TV kwenye Radio

    Habari zenu wana Jamii forums, naomba kuuliza jinsi ya kuuconect sauti ya tiv kuja kwenye radio msaada plz
Back
Top Bottom