Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
Ukiwa mgeni wa mapenzi ni sheeedah sana. Unaletewa sanaa za kiduwanzi but still unashindwa kuamua kiume! Rudi kahama kwenye mishe zako, mpotezee uyo demu. Akikutafuta, mwambie yeye ndo aje Kahama, kama hawezi... mwambie afucck-off! Simple like that. Acha kulia lia apa, kama mapenzi magumu achana nayo, fanya mambo mengine!