Mwanamke ukipendewa hiki, jua umeumia sahau ndoa

Mwanamke ukipendewa hiki, jua umeumia sahau ndoa

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,854
Hivi uliwahi kumpenda mwanamke ukajiuliza umempendea nini na ewe mwanamke uliwahi kupendwa na ukadadisi umependewa nini ?.Siku hizi watu wengi wamekuwa wakiwapenda wanawake au wasichana kwa sababu kadha wa kadha ila ningependa kuzungumzia urembo wa msichana/mwanamke ambapo kiukweli ndio moja kati ya sifa inayopelekea mwanaume kumpenda mwanamke.

Ila ukweli dhahiri ni kuwa duniani hakuna mwanamke mbaya na ndio maana kila mwanamke lazima atapata usumbufu tu toka kwa wanaume.
Leo nataka kujadili faida na hasara ya mwanamke kupendwa kwa sababu ya urembo wake[/] hapa ikiwa ni katika kupeana tu tahadhari ili mwisho wa siku maumivu yasije tokea.

Ni kama vile mwanaume uliependwa na mwanamke kwa ajili unapesa,magari na majumba,siku yakiisha ujue ndo mapenzi hakuna tena,tafakari.
Hivyo hivyo kama nilivyosema kuwa duniani hakuna mwanamke mbaya ila kila mmoja anauzuri wake wa kimaumbile ambao ameumbwa nao kulingana na mfumo wa saikolojia ya mapenzi kutoka kwa wanaume tofauti tofauti na kila mwanaume anajua anachopenda toka kwa mpenzi wake.

Suala la mwanamke kupendwa kwa ajili ya urembo wake ni sawa sawa na mwanaume kupendwa kwa ajili ya pesa zake kwamba akifilisika na mapenzi yamefilisika.Itafika siku,majuma,miezi au miaka michache urembo utaisha au kupungua au kupotea kwa sababu fulani,je itakuwa mwisho wa mapenzi yenu ?Jibu ni ndio au hapa.

Ni ndio kama mwanamke ulipendwa kwa ajili ya urembo wako,na ni hapana kama ulipendwa kwa ajili ya hisia za kweli toka kwa akupendae.
Safari za hisia za kweli za kimapenzi zinazalishiwa mbali,kwenye uzao unaotokea akilini,moyoni/rohoni na hata kwenye imani.
Mwanamke anawajibu wa kuchukua tahadhari pale anapojua kapendwa kwa ajili ya urembo alionao.

Kwani ukijihisi wewe ni mrembo,kaa ukijua kuna warembo zaidi yako tena wenye kuvutia zaidi yako.Je siku wakitokea ndio mwisho wa wewe kupendwa ?Ndio,kwa kuwa ulipendwa kwa ajili ya urembo na leo kaja zaidi yako.Mwanamke,msichana usidanganyike wala kuhadaika kuwa urembo wako utadumisha mapenzi yako.

Gracias mucho.
 
Mmmm maneno,meengi point sijaiona. Bora ungesema uzur wa mwanamke ni tabia.
 
mmmh !! Small money, hakuna aliye mbaya.. hulka na umbile la "ke" ni muruwa..... halafu penzi ni moyo si urembo!

PesaNdogo duniani hakuna mwanamke mbaya hata siku moja,ila chunga usipendwe kwa ajili ya uzuri wako.
ZamiluniZamiluni ni sawa kabisa kuwa mapenzi ni hadithi nyingi isiyo na mahusiano ni uzuri wa mtu.
Unaweza rejea tena ktk post yangu utaelewa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
PesaNdogo duniani hakuna mwanamke mbaya hata siku moja,ila chunga usipendwe kwa ajili ya uzuri wako. Zamiluni ni sawa kabisa kuwa mapenzi ni hadithi nyingi isiyo na mahusiano ni uzuri wa mtu.
Unaweza rejea tena ktk post yangu utaelewa zaidi.
Zaidi na kizuri zaidi ni TASTE ya wapendanao !!!
 
Hivi uliwahi kumpenda mwanamke ukajiuliza umempendea nini na ewe mwanamke uliwahi kupendwa na ukadadisi umependewa nini ?.
Siku hizi watu wengi wamekuwa wakiwapenda wanawake au wasichana kwa sababu kadha wa kadha ila ningependa kuzungumzia urembo wa msichana/mwanamke ambapo kiukweli ndio moja kati ya sifa inayopelekea mwanaume kumpenda mwanamke.
Ila ukweli dhahiri ni kuwa duniani hakuna mwanamke mbaya na ndio maana kila mwanamke lazima atapata usumbufu tu toka kwa wanaume.
Leo nataka kujadili faida na hasara ya mwanamke kupendwa kwa sababu ya urembo wake[/] hapa ikiwa ni katika kupeana tu tahadhari ili mwisho wa siku maumivu yasije tokea.
Ni kama vile mwanaume uliependwa na mwanamke kwa ajili unapesa,magari na majumba,siku yakiisha ujue ndo mapenzi hakuna tena,tafakari.
Hivyo hivyo kama nilivyosema kuwa duniani hakuna mwanamke mbaya ila kila mmoja anauzuri wake wa kimaumbile ambao ameumbwa nao kulingana na mfumo wa saikolojia ya mapenzi kutoka kwa wanaume tofauti tofauti na kila mwanaume anajua anachopenda toka kwa mpenzi wake.
Suala la mwanamke kupendwa kwa ajili ya urembo wake ni sawa sawa na mwanaume kupendwa kwa ajili ya pesa zake kwamba akifilisika na mapenzi yamefilisika.
Itafika siku,majuma,miezi au miaka michache urembo utaisha au kupungua au kupotea kwa sababu fulani,je itakuwa mwisho wa mapenzi yenu ?
Jibu ni ndio au hapa.
Ni ndio kama mwanamke ulipendwa kwa ajili ya urembo wako,na ni hapana kama ulipendwa kwa ajili ya hisia za kweli toka kwa akupendae.
Safari za hisia za kweli za kimapenzi zinazalishiwa mbali,kwenye uzao unaotokea akilini,moyoni/rohoni na hata kwenye imani.
Mwanamke anawajibu wa kuchukua tahadhari pale anapojua kapendwa kwa ajili ya urembo alionao.
Kwani ukijihisi wewe ni mrembo,kaa ukijua kuna warembo zaidi yako tena wenye kuvutia zaidi yako.
Je siku wakitokea ndio mwisho wa wewe kupendwa ?
Ndio,kwa kuwa ulipendwa kwa ajili ya urembo na leo kaja zaidi yako.
Mwanamke,msichana usidanganyike wala kuhadaika kuwa urembo wako utadumisha mapenzi yako.
Gracias mucho.

Thats the moral of story
 
Hakuna mwanamke mzuri na mbaya??? kusema binadamu ni mbaya sio vizuri ila kuna wenye sura nzuri kuzidi wengine tusitiane moyo bure...kuna picha za mabinti warembo zikirushiwa humu wanaume wengi watadata ila kwa wale ambao sio warembo (kivilee) mtagundua tuuu
 
Wengi wao wakiisha kuzaa mtoto mmoja wanakuwa mabibi, urembo hupotea. Wachache sana ambao huwa wanabakia na urembo wao, bora wabaya maana wakipendwa ndo moja kwa moja. Kila mtu na udhaifu wake=kila mtu ni mzur inategemeana unataka nini!
 
Af hako kaswali kanamaanisha sana kwake kama vipi mwambie macho na lips - Havichujagi ivo
 
Mimi sura sijali kama mwanamke amejaaliwa huko nyuma basi nitampenda daima ndo ugonjwa wangu huo.
 
Back
Top Bottom