Recent content by wakusoma21

  1. wakusoma21

    Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

    Duuu unajikuta CIA, unakumbuka mzeee kibao alishushwa kwenye bus la abiria kwa utaratibu kabisa
  2. wakusoma21

    Natafuta masoko ya uwakika ya nafaka ndani ya tanzania na nchi Jirani

    hehehehe inaitaji ujipange maaana unabadilisha kazi kwaiyo inabid uanze tena chini
  3. wakusoma21

    Natafuta masoko ya uwakika ya nafaka ndani ya tanzania na nchi Jirani

    Ni real bro unaambiwa na dalali hao wacongoman wanahasira hasira usisogee kwenye mzigo wanaweza wakazila wasinunue, pale ni Jau sana ila nikapata majibu kutokana na kua mgeni wa soko labla na mtaji mdogo ndo nahisi ilikua ya wao kufanya hivyo ila sizan kama wanafanya hivyo kwa wengine
  4. wakusoma21

    Natafuta masoko ya uwakika ya nafaka ndani ya tanzania na nchi Jirani

    Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini maeneo ya songwe na Rukwa napeleka soko la tunduma mataifani pia soko la mbalizi. Kuna baadhi ya mambo...
  5. wakusoma21

    Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

    Hakuna mke hapo boss na ww chapa potea
  6. wakusoma21

    Mke wangu amezidisha dharau

    Shekheee anapekekewa Moto kisawasawa sema ni hivyo namuonea huruma kutokana na Hali yake
  7. wakusoma21

    Mke wangu amezidisha dharau

    We Acha tuuuu jamaa yangu yaani sikutaka kusema huyu wife ni yatima ila sasa kibuli ndo kimejaaa namuonea huruma
  8. wakusoma21

    Mke wangu amezidisha dharau

    Mm ndo nilimnunulia hiyo simu ya kwangu ilipata shida
  9. wakusoma21

    Mke wangu amezidisha dharau

    Kuwapata hao boss unakuta zinatolewa huko primary
  10. wakusoma21

    Mke wangu amezidisha dharau

    Hakika boss umenena vyema
  11. wakusoma21

    Mke wangu amezidisha dharau

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea...
  12. wakusoma21

    HESLB yaja na mpango mpya kwa wasiyorejesha mikopo, waungana na RITA, NIDA na Taasisi za Kibenki kuwatambua kirahisi wadaiwa

    Nawapongeza ila nawashauri apo inabidi itoe tena mkopo kwa wahitumu ambao hawana sifa za kukopesheka na taasisi za kifedha ili wapate mitaji na kuwalipa madeni yao yote bila kubaki ata moja
  13. wakusoma21

    Kushindwa kujizuia pale ashki zinapokukamata

    Bora hata ww mm nilikua nachunga ng'ombe back days nilishikwa na upwiru nikatumia matobe ili nipate utelezi upwiruuu uwacheni tuuuu
Back
Top Bottom