Msio amini uwepo wa Mungu mnajichagulia njia ya "KIPUMBAVU SANA" ... Haya fanya Mungu hayuko, inakuongezea nini au kukupunguzia nini zaidi ya KUJIFANYA MJUAJI SANA ( unasoma biblia ili utafute makosa)
Naita njia ya kipumbavu kwa sababu moja tuu . Ikitokea mimi ninae Muamini Mungu nikifa...
Kwa jinsi hiyo kichwa inavyo tokota hukawii kusema cr7 kabeba kombe la dunia ..
KAMA MCHEZAJI UNAE MSHABIKIA NA UNAE MUONA BORA, KAMA HANA KOMBE LA DUNIA HUYO HANA TOFAUTI NA KIBU DENIS.. maana wote hawajabeba kombe la dunia
Huo ndio mpira ( mchezo wa kugusana ) kama hutaki watu wagusane kashabikie tennis .... Ukimgusa mwenzio vibaya penalty ukishika penalty .
Nikuulize swali> penalty gani haikua ya halali ?? Au unataka penalty zitolewe mpaka mtu akatike shingo au mguu? .. hata penalt 100 zinaeza kutolewa kama...
Hilo liko wazi kabisa umri ni tatizo kwenye mpira, kwa hiyo kiwango lazima kishuke kwa mchezaji yeyote yule .. ILA kwa umri wake huo mkubwa Messi wa 2022 alikua hatari sana kuliko hata yule messi wa 2014 kwenye kombe la dunia !! MACHO YALISHUUDIA ALIYOYAFANYA KOMBE LA DUNIA .
Kwani uelewa wako kwenye mpira ndio umeishia hapo ... Mwaka 2013 franck Ribery anachukua UEFA, BUNDESLIGA, DFP POKAL, UEFA SUPER CUP na CLUB WORLD CUP .. alimaliza na magoli 26 na assist 27 ... Lakini alikosa ballon d'or...
Akachukua CR7 ambae alichukua LALIGA hahahahhaha ...
HIVI WEWE...
Ni mwaka gani ambao adebayor alimaliza hata 10 bora kwenye ballon d'or ??? . Timu karibia zote alizo cheza adebayor enzi zake hazijawahi kuchukua kombe lolote la maana ataanzaje kuwa kwenye kinyang'anyiro cha kupokea tuzo ? .. yaani adebayor aalikwe kwenye sherehe za ballon d'or aache kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.