Baada ya mchakato mzima na kwasababu ya maslahi mapana ya nchi hii tuliona Mafuru anafaa kuliko wenzake though CV yake haikuwa na uzito kuliko wenzake, kuchukua nafasi kama ile issue sio tu a good CV sababu ni nyingi ambazo nyingine zinapima upana wa weledi kati ya applicants, alitosha kuchukua...
NHC ilianzishwa kama shirika la umma kusaidia swala la makazi nafuu kwa watanzania lakini huyu boss wao bila kujali misingi ya uwanzishwaji wa shirika hilo anakopa bank na kujenga miradi mikubwa ambayo mwisho wa siku inakosa wateja maana watanzania wengi hawaimudu kutokana na bei kubwa ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.