Dstv mnatuonea

karugila

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,275
685
Haiwezekani leo zinacheza mechi nyingi za epl msituonyeshe hata moja kwa wale wa select 1 and select 2
 
Mi nataka mpira .wabadilike inawezekana kabisa mtu ukachagua channel unazozitaka mfano mi wanipe hata channel 4 za mpira kuliko kunijazia machannel kiba ambayo hata siyaangalii
 
Nchi nyingi ndio hivyo ukipenda mamuvi na maspoti lazima pesa zaidi ikutoke

Cha kuepeuka hayo ni kuweka yale ya kama bure kuna uzi humu jf watu wanaelezana mengi tu popote ulipo duniani kila kitu kinawezekana.
 
Back
Top Bottom