Kuacha kununua king'amuzi cha Continental haisaidii chochote maana Star Tv inapatikani kwenye ving'amuzi vingi sana hadi DSTV unaipata. Na pia kutonunua king'amuzi cha Continental sijui itasaidia vipi kuiondoa CCM madarakani.
duh inatia hasira kuona mtu mnyonge anahukumiwa miaka kumi kwa kosa la kumiliki fisi,ila kwa maeneo ya vijijini hasa usukumani wacheza ngoma wamekuwa wakitumia fisi tangu zamani sana,sijui imekuwaje huyu kakamatwa. huenda kuna fitina.
Kamanda hiyo nyomi ya watu utashangaa matokeo yatakapotangazwa. Nakuhakikishia kwa Misungwi ubunge Kitwanga wa CCM atashinda wa kura nyingi sana, wapinzani hawatapata hata nusu ya kura zake.
kwanini mgombea ubunge jimbo la Misungwi kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA hafanyi kampeni? Au kapima kina cha maji akaona ni kupoteza muda kupamabana na Charles Kitwanga?
@Pasco hujafanunua au kueleza ni kipi ambacho kingemfanya Mwl Nyerere awe upande wa Lowassa kiin hiki, badala yake umejaribu tu kueleza jinsi ulivyokuwa karibu na mwalimu Nyerere. Hebu fafanua zaidi, usiishie tu kusema ulifanya naye mahojiano.
Mkuu nadhani wewe Dodoma ni mpitaji sio mwenyeji wala mkazi wa hapa. Kwa mkoa wa Dodoma sio rahisi kwa vyama vya upinzani kupata hata jimbo moja. mfano Dodoma mjini, Antony Mavunde hata akiacha kuendelea na kampeni leo ataibuka na ushindi wa kishindo. Subiri Oktoba ndo utaamini, watu wa Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.