Yeyote anaehitaji mtoto mwezi mmoja tu mimba

Yeyote anaehitaji mtoto mwezi mmoja tu mimba

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Siamini katika ushirikina
Ila Mimi sio mjinga saana kuamini katika mambo ya kizungu na kupuuza asili yetu waafrica!
Tucut story twende kwenye mass
Kuna rafiki yangu alikuwa ana shida ya uzazi miaka kumi hv.kamaliza vipimo vyote.
Katika kutembea akakutana na Mzee mmoja yupo mabogini huko moshi
Yule Mzee bwana unatakiwa uwe na mwenzako
Akiwacheki Tu hvi anajua mwenye tatizo
Mnatakiwa muwe na mayai na asali anawachanganyia Dawa yake humo mnakunywa hapo hapo mnapewa kitanda mnafanya yenu. Maana Dawa ina muhemko sana ile
Yaani ndo mimba hyo.
Hata uweje labda uwe huna kizazi pia tiba yake ni bureer! Ukifanikiwa utampa tu zawadi ukijiskia kama sukari mchele au chochote mizimu yake haipendi anasa so vitu vya gharama mfano magari hapokei

zi.
 
Mwambie huyo mzee ahamie mjini kwenye miji mikubwa kama Dar, Arusha n.k. kuna mburula wengi sana atawakamata na kumtajirisha.
 
haiingii akilini kabisa....

si kibaiolojia tu hata kwa akili ya kuzaliwa tu inagoma....
ndio mwanzo wa kuzaa vitu vya ajabu ikidhaniwa ni mtoto.
 
haiingii akilini kabisa....

si kibaiolojia tu hata kwa akili ya kuzaliwa tu inagoma....
ndio mwanzo wa kuzaa vitu vya ajabu ikidhaniwa ni mtoto.
wewe ndo wale wale
Watu wamezaa watoto miaka na miaka huku
Zamani kabla ya mashine unadhani mirija ya uzazi ilikuwa inazibuliwaje?
Endelea kutukuza wazungu
 
Mzee kawawekea kitanda apige chabo bure kabisa
ana enjoy uzee wake kwa burudani za free
sio lazima mfanye hapo ila yeye huwa anapenda kuhakikisha kama wagonjwa wake vipi vipi ndo muondoke.
So anasimamia show ya uzinduz wa doz
 
Kwa hiyo hata kama mwanamke hayupo kwa siku zake za hatari still mimba itaingia??
dozi sio ya siku moja pale mnafanya mechi ya uzinduzi. Wa dozi anacheki kama mpo ok.ila mwezi hautaisha kwenye dozi MTU anapata mimba
 
Huna haja ya kwenda moshi, anae taka mtoto anitafute mm ninadunga mimba mwenyewe, nikipanda usipo shika mimba nahama jiji
 
Mwambuw achaji hata 500 wajazane Burenayo inaogopesha swali ukifanikiwa akitaka hunauwezo ..ilanamskia kibooko ninambwazangu nikipandisha azizai niulizie wakinywa wanapata watoto
 
mara nyingi hao wanakuwa sio watoto wa kawaida kama unahitaji mtoto ni vizuri ukamwomba mungu na sio kwenda kwa waganga...rejea wimbo wa bahati bukuku-maamuzi(zinduna)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom