Lowassa: Nitaongoza nchi kwa spidi ya Magufuli

Lowassa: Nitaongoza nchi kwa spidi ya Magufuli

AISEE NI KWELI hata mimi nilishangaa japo hakulimalizia jina baada ya kustuka na kuishia maguf..!
 
Wekeni ushahidi basi,mtuwekee video clip. La sivyo ni ngumu kumeza hii propaganda
 
Majuzi alisema zaire na congo; sitashangaa . Akirudi ccm baada ya vitisho vya mahakama ya mafisadi
 
Magufuri jembe halichagui shamba// whitehair mzembe hanunui pamba
 
Majuzi alisema zaire na congo; sitashangaa . Akirudi ccm baada ya vitisho vya mahakama ya mafisadi

Mungu atuepushe na lowasa maana kwa uwezo wa akili alionao akiwa rais wahuni kama mbowe atawambia nini?
 
He he he he he, jama huyo huyo alisema CCM OYEEEEE
 
Lowasa anatambua kuwa magufuli ndo rais bora,ambaye anaweza kuongea na bungeni lenye wasomi na wakamuelewa,yeye tamaa zake,
 
acha porojo spidi ya magufuli ndio nn mbona hueleweki,uongo utakusaidia nn
 
Lowasa alimpigia kura Magufuli! Haishangazi kusikia ataongoza nchi kwa spidi ya Magufuli
 
Back
Top Bottom