Recent content by Wakulochi

  1. W

    Iran yampuuza Trump yasema italipiza mapigo yoyote dhidi yake

    Iran ina nguvu za kuangusha drone ya USA? Iran ina uwezo wa kupigana vita na Irak (iliyokuwa inaungwa mkono na western super powers zikiwemo USA) kwa miaka minane bila kusimama wala kutetereka? Iran inaweza ku-survive vikwazo vya USA tangu mwaka 1978 alipopinduliwa kibaraka wa USA Shah wa Iran...
  2. W

    Iran yampuuza Trump yasema italipiza mapigo yoyote dhidi yake

    Siyo lazima mu-Iran apige ndani ya USA; lakini anaweza kujibu mapigo kwa kushambulia maslahi ya USA yaliyoko eneo la mashariki ya kati ikiwa ni pamoja na manowari na nchi rafiki kwa USA zinazomuunga mkono kama Saudia, Israel na wengineo. Ni kawaida, ukimdhuru mtu kama hawezi kukudhuru wewe...
  3. W

    Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

    Mkuu Sijijui; shusha orodha ya hao wateule kutoka Chato kuthibitisha hoja yako kwamba wako "over 50%" ya wakurugenzi wote wa miji, wilaya, majiji na ma-RAS. Wewe ni JF Expert Member; ni muhimu neno lako likaambatana na ushahidi wa majina ya hao wahusika.
  4. W

    Kwanini Askari wasio na vyeo wa JWTZ wanaweka sare kwenye siti za magari yao hasa wanapokuwa sehemu za Starehe?

    I M E Z U I L I W A. Kama ni utaratibu au siyo utaratibu wewe unataka kujua ili iweje? Maana haikuhusu; ingekuhusu ungeyajua hayo!! Licha ya hayo yote, wewe unaathirika nini na kitendo cha mtu kuning'iniza vazi lake kwenye viti vya gari lake? Je, kama ni ishara yao kwa mambo yao ya kikazi...
  5. W

    Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    C Mkuu chanzo cha taarifa tafadhali kama hutajali.
  6. W

    Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

    Kongole mkuu, umenyoosha hiyo; kama ni wa kuelewa watakuelewa, kama si wa kukuelewa hawatakuelewa. Wahenga walisema " la kuvunda halina ubani". Tusubiri.
  7. W

    Plot4Sale VIWANJA VINNE (4) VINAUZWA MWANZA JIJI (NYASAKA "B") ILEMELA

    Vina hati mkuu kama nilivyooeleza kwenye aya ya kwanza. Karibu sana.
  8. W

    Plot4Sale VIWANJA VINNE (4) VINAUZWA MWANZA JIJI (NYASAKA "B") ILEMELA

    Vyote vinne viko pamoja kwenye eneo la ukubwa wa Mita 80 kwa Mita 33. Eneo limepimwa na lina hati. Ukubwa wa kila Kiwanja ni Mita 20 kwa Mita 33. Bei ya kila Kiwanja ni T.Shs 15,000,000/= (Maongezi yapo) Miundo mbinu yote muhimu kama barabara, maji na umeme vipo. Kwa mawasiliano zaidi piga...
Back
Top Bottom