Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

Kuna video nilitazama ya Africa Leadership Forum kule Kigali ambapo Mzee Mkapa alizungumza kwa uchungu sana kuhusu viongozi wa Africa walivyokuwa na ubinafsi. Wanakula kwa mikono miwili! Wanayo haraka sana utadhani wanahofia kuwa kesho hawatakuwa madarakani!
Uchungu upi? Usiwaamini wanasiasa
 
KWANI C
Naongea na watu ambao awajui ata geografia ya eneo lenyewe ulitaka nimjibu nn ? Ata kama tunachuki na rais lkn sio tuoneze chuki kwa mambo ambayo sio ya msingi. Iko hv chato kuna ifadhi inaitwa rubondo ipo kisiwani kabisa, ata ukifika eneo la kibaoni kwenye mizani ya njia panda ya kwenda mwanza na bihalamuro kuna kibao chake cha kutembelea ifadhi ile kiko pale. Pale kibaoni ndo kuna ifadhi nyingine ya pori la Maiga inapoanzia hyo inakwenda mpaka bihalamuro na Muganza chato. Ifadhi ya burigi inaanzia kata kasharunga inakwenda kukutana na karagwe na ngara inausisha pia na ziwa burigi. Sasa mtu akija akaleta hoja za kijinga kwamba wameweka mipaka burigi imeludi chato ndo naanza kushangaa kwamba hyo mipaka ni ya kiutawala au kitaasisi? Kama ni ya kiutawala basi kumbe muleba imeludi geita.


KWANI CHATO SI TANZANIA?

1. Hoja zinazoendekeza ukanda zinaudhi/zinakera; lakini sio mwafaka au busara kuzijibu kwa matusi.

2. Let's be serious. Chato ni sehemu ya Tanzania. Kuna Mbuga mpya Chato katika kisiwa cha Rubondo kilichopo Ziwa Victoria. Mbuga hiyo ni mali ya Taifa, siyo mali binafsi ya Mh. Rais. Kuna kosa gani kuiendeleza mbuga hiyo kwa kutumia rasilimali za Taifa?

3. Kuna sheria au Kanuni ipi inayozuia kuendeleza maeneo anayotoka Rais wa Nchi? Yaani tunataka kujenga utamaduni kwamba kuendeleza maeneo wanakotoka ma Rais ni makosa/dhambi? Mbuga zingine za wanyama ziendelezwe na ile ya Chato isiendelezwe kwa kuwa Mh. Rais anatoka huko????
 
Msafara wanyamapori wakihamishiwa hifadhi ya Taifa ya Burigi.



The Netherlands was made by the Dutch although God created Holland. Improvement of the Burigi National Park through relocation of some the wildlife is an innovation worth a compliment. Congratulations TANAPA and the government for great efforts.
 
The Netherlands was made by the Dutch although God created Holland. Improvement of the Burigi National Park through relocation of some the wildlife is an innovation worth a compliment. Congratulations TANAPA and the government for great efforts.

You got it right!
 
Uchungu upi? Usiwaamini wanasiasa

Umetazama hiyo video? Hupenda tusilende wanasiasa wametuongoza tu. Kazi yetu kama raia ni kuwakwepa kwenye Miami na kuwachambua. Pamoja na upungufu wake Mkapa alikuwa kiongozi; siyo hawa lilliputians waliofuata.
 
Yap, na mfano mwingine mrahisi, dada yako akibakwa haimaanishi huyo mtoto atakayezaliwa sio mjomba wako. Na anaweza kuja kuwa na msaada mkubwa huko mbeleni bila kujali alipatikanaje. Kwahiyo wakati mwingine inabidi kukubali kwamba hata saa mbovu kuna muda inapatia majira.

Interesting arguments; to say the least!
 
Nitafurahi kama rais atakaeingia iwe 2020 au 2025 aamuru kurudishwa wanyama hawa walikotoka him jambo hili halina tofauti na malengo ya mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliofanyika kipindi cha JK na Uhamishaji wa wanyama to capital city ijayo! Kinachotofautiana ni awamu ya utawala, pesa inayotumika kuwekeza lakini lengo la pamoja ni kuendeleza wanakotoka watawala wetu.
Watanzania tusichoke kuuliza japo hatupati majibu sahihi lakini jibu ni jibu tu hata kama litakuwa la uwongo huwezisema huu ni uongo utasema hili ni jibu la uwongo.

1. Tulipohoji airport Chato tukajibiwa rais hapendi isipokuwa watendaji wake wanafanya hivyo.

2. Tulipohoji traffic light Chato wakati kuna mikoa hakuna traffic light tukaambiwa rais hapendi ila watendaji wake wanajipendekeza kupeleka maendeleo chato.

3. Sasa tunahoji tena Kigwangala kulikoni?
NB. Mimi nikiwa rais nahamisha bahari ya Hindi upande wa Dar napeleka kwetu Moro!
 
Burigi na biharalo kuitwa chato national park ni ubinafsi mkubwa sana na ni wizi
 
unaambiwa over 50% ya wakurugenzi wa miji wilaya na majiji ni kutoka Chato,Hakuna mtu mwenye master mzaliwa wa chato au anae ishi chato kwa maana ya chato kuwa makazi yake ya kidumu ambaye si mkurugenzi au RAS
Mkuu Sijijui; shusha orodha ya hao wateule kutoka Chato kuthibitisha hoja yako kwamba wako "over 50%" ya wakurugenzi wote wa miji, wilaya, majiji na ma-RAS. Wewe ni JF Expert Member; ni muhimu neno lako likaambatana na ushahidi wa majina ya hao wahusika.
 
Back
Top Bottom