Recent content by Wakuletwa

  1. Wakuletwa

    POLL: Watanzania wangapi wameendelea kufuatilia bunge baada ya UKAWA kususia?

    c Najionea vituko tu mara wale wamevaa mask, huyu kavuliwa kofia, huyu analilia posho....ilimradi kila mtu na lwake...
  2. Wakuletwa

    Educational matereal approval comittee(emac) ndio wanaiua elimu ya tanzania.

    Kweli kabisa leo nilikuwa napitia kitabu cha hesabu mathematics for secondary school student book 4. Nimeshangaa sana kwenye page 264,265,266 jinsi wanavyoelezea hiyo mada. Pia page 315 kuna cosine rule imekosewa kabisa. Sasa mimi kwa muda wa nusu saa tu nimeona makosa haya ila Mwenyekiti...
  3. Wakuletwa

    Kusema si kutenda walisema maneno mengi na matamu lakini leo wametuacha hohehahe

    Lakini pia wapo wasemaji kama Mbowe, Slaa n.k. pia wakati Mh Lowasa yupo kwenye ubora wake alikuwa msemaji mzuri tu. Ukweli hayuko vizuri Ila ni bora kusema hivi pamoja na afya yake lkn anatufaa sio kuanza kumtetea kuwa yupo sawa. Kiafya hayuko sawa kujadili ni je afya yake ina athari ktk urais?
  4. Wakuletwa

    Morogoro: Watu watatu wafariki katika mapambano na Polisi, wawili wanasadikiwa kuwa Al Shabaab

    Hiyo habari ni ya kwelo kabisa mmoja ya walio uwawa ameuwawa katika kijiji cha Kibindu karibu na mpaka wa Pwani, Moro na Tanga. Mpaka sasa msako mkubwa unaendelea kuwasaka waliosalia kwa mujibu wa mashuhuda lilikuwa kundi kubwa la watu zaidi 100 huko kijijini ni heka heka kwa sasa
  5. Wakuletwa

    Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo yu mahututi ICU - MOI

    Pole sana, Mungu ampe nguvu arudie afya yake
  6. Wakuletwa

    Usanii wa CHADEMA na hadithi za ufisadi (List of shame)

    Kumbe kukaa kimya ni bora kuliko kusema jambo usililijua. Tatizo letu tunashabikia watu kuliko sera na taratibu sasa ndio tunajionea wenyewe uozo wa watu tunaowaamini. Kama viongozi hawawezi kutunza siri za chama mpaka kuziweka hadharani ni balaa. Ikumbukwe kuwa chama, au kikundi chochote siri...
  7. Wakuletwa

    Msanii Langa afariki Dunia!

    Mtu akifa ni kushikuru Mungu na sio kuropoka Mara teja Mara ... unajua wewe utakufaje? R.I.P Langa
  8. Wakuletwa

    Bungeni: Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa

    Nasikia ripoti ya tume ya Pinda kuhusu matokeo ya IV 2012 imetolewa Bungeni leo asubuhi. Wadau mlioipata tuwekeeni hapa maana tulikuwa kwenye majukumu.
  9. Wakuletwa

    Breaking News: FIFA YAWARUDISHA MALINZI, WAMBURA KUGOMBEA TFF

    Mmm sasa subiri watakachoongea kinaweza kikawa tofauti kabisaaaaaa ili mradi waanzishe mzozo mwingine.
  10. Wakuletwa

    Matokeo mabovu ya IV na majibu ya ovyo kwa watendaji husika...tutafika kweli?

    Ndio kila mtu kasikia juu ya uozo wa matokeo haya ya vijana wetu. Kwa kweli nchi ipo njia panda kuhusu elimu. Pamoja na uozo huo wa matokeo kilichonishangaza ni matendo au majibu yanayotolewa na hao wahusika ikiwemo walimu, watu wa baraza la mitihani pamoja nawaandishi wa habari. 1. Nianze na...
  11. Wakuletwa

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Hili ni tatizo na sio changamoto tena. Lazima tutafute njia mbadala ya kulitatua.
  12. Wakuletwa

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Hiyo ni Jitegemee..je zile za Kina sisi....za kata itakuwajeee
  13. Wakuletwa

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Wadau mliopo kwenye source hepu tuwekeeni hayo matokeo maana hiyo web ya Serikali ipo busy kinoma
Back
Top Bottom