Educational matereal approval comittee(emac) ndio wanaiua elimu ya tanzania.

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
EMAC imepewa jukumu la kuhakiki na kudhibiti ubora wa vitabu kabla havijapata kibali cha kuwa kitabu cha kiada na kuwa kitabu sahihi kwa matumizi ya wanafunzi.
CHA AJABU BADALA YA KUDHIBITI VITABU VIBOVU NDIO KIMEKUWA CHOMBO CHA KUHALALISHA VITABU VIBOVU.
watu wanawalalamikia waandishi binafsi bila kujua kuwa vipo vitabu vibovu kupindukia vya serikali na ni afadhali ya vile vibovu vya watu binafsi.
IELEWEKE PIA SIO VITABU VYOTE VYA WATU BINAFISI NI VIBOVU MANA VIPO VIZURI TENA VIZURI SANA.
mfano wa vitabu vinavyotia aibu serikali na taifa lote ni VITABU VYA MATHS(sylabus 2005),vimejaa mapungufu mengi yasiyokubalika na mwanafunzi akivitumia asubiri kufeli tu.
CHA AJABU ZAIDI VITABU HIVI VINA NEMBO YA EMAC NA HUU NDIO UDHIBITISHO KWA EMAC KUIUA ELIMU YA TAIFA HILI.
mfano soma MATHS form two(2005 sylabus):topic ya logarithm mpaka mwisho ni AIBU.na hizi sumu ndio wanamezeshwa wanafunzi.
 
Rushwa adui no.1 wanapokea rushwa wanapiga muhuri wao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
EMAC imepewa jukumu la kuhakiki na kudhibiti ubora wa vitabu kabla havijapata kibali cha kuwa kitabu cha kiada na kuwa kitabu sahihi kwa matumizi ya wanafunzi.
CHA AJABU BADALA YA KUDHIBITI VITABU ko VIBOVU NDIO KIMEKUWA CHOMBO CHA KUHALALISHA VITABU VIBOVU.
watu wanawalalamikia waandishi binafsi bila kujua kuwa vipo vitabu vibovu kupindukia vya serikali na ni afadhali ya vile vibovu vya watu binafsi.
IELEWEKE PIA SIO VITABU VYOTE VYA WATU BINAFISI NI VIBOVU MANA VIPO VIZURI TENA VIZURI SANA.
mfano wa vitabu vinavyotia aibu serikali na taifa lote ni VITABU VYA MATHS(sylabus 2005),vimejaa mapungufu mengi yasiyokubalika na mwanafunzi akivitumia asubiri kufeli tu.
CHA AJABU ZAIDI VITABU HIVI VINA NEMBO YA EMAC NA HUU NDIO UDHIBITISHO KWA EMAC KUIUA ELIMU YA TAIFA HILI.
mfano soma MATHS form two(2005 sylabus):topic ya logarithm mpaka mwisho ni AIBU.na hizi sumu ndio wanamezeshwa wanafunzi.

Kweli kabisa leo nilikuwa napitia kitabu cha hesabu mathematics for secondary school student book 4. Nimeshangaa sana kwenye page 264,265,266 jinsi wanavyoelezea hiyo mada. Pia page 315 kuna cosine rule imekosewa kabisa. Sasa mimi kwa muda wa nusu saa tu nimeona makosa haya ila Mwenyekiti M.M.Wassena kasaini na mhuri juu. Aibu.
 
Back
Top Bottom