af me naona pia tatizo ni urahisi wa upatikanaji..ndo maana Tecno kasikilia soko sana, sababu anapatikana kwa urahisi. I wish simu kama hiyo z2 ingekua inapatikana kiurahisi kama Tecno zilivyojaa kkoo
sasa tatizo simu kama hiyo kupatikana shida...sio kamaTecno zilivyojaa kkoo
Tecno W3 ni 150000/= . Tecno Y3 ni 100000/= . me naona hizi zinawafaa watanzania wa hali duni. sasa naomba samsung yenye same specs na hizo smartphones za tecno kwa budget ya 100000/= - 150000/=. I'm trying to see how the guys are helping people when it comes to budget. (housegirl, mama...
sasa kakaa..unamuongeleaje housgirl, mama ntilie, kondakta, watu wote wa levo za chini ambao hawawezi kuafford simu nyingine hizo za bei ghali kidogo? Tecno amekua mkombozi wa Tanzania, afrika kwa ujumla ..sababu ya affordable prices. anatengeneza simu kwa kila budget. Actually ndo inaongozwa...
hahah
hahahaha....chief mkwawa!! long time sana sijaingia humu. last time nakumbuka tulikua tunaeleweshana kuhusu simu za Tecno. wewe ulikua huzipendi kabisa mpaka ukawa unazipondea. vipi sasahiv?!..bado unaendelea kuziponda na kuziona hazifai?
Unachosema ni kweli kakaa, watu wanaiponda Phantom 5 wakati hawajawahi kuitumia. Bora wewe umeitumiana umekuja sema kwamba ipo vizuri. Napenda watu kama wewe ambao wametumia kitu na kuleta feedback, not those who only base on readings.
Nimekuelewa kaka.hiyo lg g2 iache iuzwe laki tano na hiyo tecno iuzwe laki saba. This is because tecno imeongeza finger print sensor hardware ambayo hiyo lg g2 haina. So kwa ubora wake hiyo tecno, lazma bei iwe juu.
Laki nane nyingi ndio ila inadeserve kwa Simu kama hiyo. So as Simu za brand nyingine zinazouzwa arround milioni mbili huko. What I am saying is that, tuache kupondea vitu wakati hatujawahi vitumia .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.