Recent content by Wakishua123

  1. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    hyo 22 naona jokate foundation ....... jokate huyuhuyu au??????if so basi kuna shida mahala
  2. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Kubwagwa kwa Kamala Harris, wamerekani bado wamekumbatia mfumo dume

    Nilivyo ona tu kamala Harris anawatumia akna card b kuconvice RAIA wampigie kura nikaseme tu huyu hatoboi hapa mwenzake trump anawatumia matajiri wenye akili zao akna elon musk
  3. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Hili shirika daily CAG anasema linaendeshwa Kwa hasara ndio maana lina mabei ya ajabu ajabu tu shida management haiumizi kichwa kabsa dawa ilikuwa kwanza wajilipe kutokana na faida na sio mishahara yao itoke hazina pili wawe performance valued kama kashindwa PGA chini uone kama shirika...
  4. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kamwe kuandikisha hati ya nyumba, gari au kiwanja kwenye majina ya mke wako it will end in tears

    Mkuu zingatia neno MWANASHERIA MZURI watu wana UA na wanatoboa itakuwa issue simple hyo
  5. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kamwe kuandikisha hati ya nyumba, gari au kiwanja kwenye majina ya mke wako it will end in tears

    wakati anabadilisha title ya hiko kiwanja kwani alimuuzia au kumpa kama alimpa akipata mwanasheria mzuri mbona issue simple tu anakirudisha mikononi mwake maana hati atakama inabadilishwa haifyatuliwagi mpya waga anaongezewapo tu mmiliki mpya kwahyo ni issue simple tu maana hata huyu Mke...
  6. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Mkuu ndio utuuzima huo sasa utaelewa kwanini familia za kiafrica zitaendelea kuwa misukule tu kwenye familia za kihindi na kiarabu asset management ni poor Kwa hizi familia za kibantu utasikia tu tafuta chako unaanza mmoja wakati wenzetu Wa Hindi na waarabu wanawaza kuendeleza nway pambana mkuu
  7. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Kununua bodaboda na kufungua salon

    Mkuu uko na ujuzi gani tuanzie hapo kwanza??? Maana jaribu kufanya biashara ambayo unaujuzi nayo ila kusema umkabidhi MTU aiseee watu hawaajiliki mkuu hyo Pesa utaijutia tu vinyozi ni Pasua kichwa Bodaboda ndio usiseme naungana na mchangiaji Mmoja huko juu kwamba kama unampango wakukabidhi watu...
  8. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

    Tido ni jembe aliibadilisha sana TBC kipindi kile wakamuona hafai akala shavu Azam akafanya mapinduzi mpaka Leo tunaona na ligikuu ya kwetu,wakiweka siasa pembeni professionalism isimame atakuwa MTU sahihi
  9. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Kwanini wastaafu wa Tanzania hawawekezi kwenye sekta ya viwanda?

    Mkuu kiwanda sio lelemama acha wawekeze kwenye majumba Mimi hata mstaafu simshauri kufanya biashara za kukimbizana kwanza umri ushamtupa mkono just imagine kipindi yeye ameanza kuajiliwa wenzake wakaingia kwenye biashara sasa Leo amestaafu na yeye ndio aingie kwenye biashara atakufa mapema sana...
  10. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

    Pesa x mkopo Finloan app Branch Okoa maisha M safi loan Fair loan Nikopeshe Twiga loan Okoa maisha Eagle cash Kopa fasta mkuu kote huko ukiokoteza okoteza hukosi hela uoga wako ndio umaskini wako
  11. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

    Sasa mkuu siuko na smart phone na internet ya VPN hebu Fanya kukopa kwenye hii mitandao mara pesa x,pesa fasta,etc kampuni ziko nyingi sana huko hukosi 300,000 halafu kesho amkia karume asubuhi na mapema wakiwa wanafungua mizigo ya mtumba pick za kutosha rudi getto Ka tulie ikifika jioni mida ya...
  12. Wakishua123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Mchumba ndio umekuja kunisemea huku wakati tulikubaliana iwe siri
  13. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye machine zenu za parking

    Taarifa iwafikie uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye Mashine zenu za parking haiwezekani msiweke bei ya parking wazi. Hata kwa kuzibandika kwenye bango ili wateja tujue tunachajiwa kiasi gani na kwa muda gani mtawafukuzisha wateja wanaokuja kutumia hela hapo.
  14. Wakishua123

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Mkuu hii issue mbona simple tu sio rocket science iko hivi mkono mtupu haulambwi wewe piga Mishe zako umake around 400M then approach bank kama equity wanatoaga mikopo ya mabus . We utachangia 40% percent ,60% percent watakuchangia wao kwahyo kama bus linacost around 300M we utalipia 120M the...
Back
Top Bottom