tumisikia kauli ya ramadhani singano na maelezo ya bwana mkubwa Zakaria hans pope kuna figisufigisu.
kama mnania nzuri kwa wachezaji wa kibongo mwacheni aende anakotaka kama nje au tunasikia anaenda azam.
ikiwa mtamng'ang'ania atacheza kinyonge atashindwa kucheza mpira eti mchezaji akivunja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.