Recent content by WaKijita

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Prof. Sifuni Mchome kufanya kazi na Dr. Ndalichako Joyce!

    mambo ya GPA yafutwe sekondari niuvurugaji elimu kbs pia wizara ya elimu itolewe kwenye BRN
  2. W

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo; Ilikuja kwa kasi na inakufa kwa kasi ya ajabu

    chama kiliwekeza zaidi katika ununuz wa bendera kuliko kutafuta wanachama
  3. W

    JamiiForums Tanzania Waraka: Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure

    haaahaaaahaaa mbavu zangu mie ccm mbele kwa mbele tena naomba wachange tu watz wakome ubishi mh rais naomba urudishe karo na michango ili upate fedha ya vitanda muhimbili tuendelee kuisoma namba maana ccm ni ileile sasa wanatakaibadilikeje?)
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CHADEMA kwenye Jimbo la Handeni Mjini ameachwa mpweke

    ujinga wako tumeuona kawambie walokutuma ujinga kuwa umefikisha ujinga walokutuma kuleta
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CHADEMA kwenye Jimbo la Handeni Mjini ameachwa mpweke

    ningekujibu ila ntaonekana mwendawazimu zaidi yako
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka

    lakini kamzawadia wilaya tayari
  7. W

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai, Naibu Spika Tulia Akson Mwansasu, lazima UKAWA wanyooke

    ccm kila kitu kinatoka mfukoni siku hizi walianza urais tukayasikia hayo leo tenaaaaa! kweli nimeamini mwiba utokea ulipoingilia
  8. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia Ackson - Anaweza kuwa Waziri wa Sheria

    hii inathibisha ukilaza wa wabunge wa ccm mpaka kocha analeta mamuluki shaaaaame
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Ruzuku za vyama vya siasa

    elimu elimu elimu, mtoa mada uliihitaji sana fursa hii ila basi
  10. W

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Wakati Huu CCM, ni zamu ya Zanzibar, Je Sitta atakubali?

    hakuna namna
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA, msitoke Ukumbini Rais akizindua Bunge

    asante kwa ushauri ila hatutaufanyia kazi, kwanza umekula? maana njaa nayo shida
  12. W

    JamiiForums Tanzania Waalimu kwa bashasha wanasubiri laptops zao hadi raha..

    nimeisha nunua modem yangu tayar
  13. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    pole mama Mungu yupamoja nawewe akupe wepesi upone uendelee kulitumikia taifa
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wa kwanza kumkumbuka Kikwete

    kwa holidays za hovyo
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa wanukia nchini

    walimu hatujalipwa sote bado tunadai
Back
Top Bottom