Recent content by wakatanta

  1. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Si kwa ajili ya ubaguzi, bali namshauri Rais Samia aepuke kufanya maamuzi makubwa ya muda mrefu yanayohusu upande wa Tanzania bara peke yake

    Mmeisha anza kusaga kunguni baada ya kina marope kusafishwa?
  2. wakatanta

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Jambo la kwanza ukwasi wao unatokana na wizi wa mali ya umma,kudeal nao hao watu ni jambo dogo sana,kuwafungulia mashitaka, na account zao kuzi -freeze,
  3. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya ilikuwa ni kurithi Baraza la Mawaziri la Hayati Magufuli

    Wewe ni jinSia gani?
  4. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

    Nakusoma vyema,fedha,kilimo,kuna jambo linafukuta
  5. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

    Ile Rais Samia alipokwenda Marekani na kukaa takribani mwezi akizindua royal tour,na mshenga akiwa Rostam Aziz tulipigwa ile mbaya
  6. wakatanta

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?

    Msigwa alishinda uchaguzi dhidi ya Sugu,sema hakuwa chaguo la mfalme Mbowe ambaye ndie anapanga safu yake,hivyo hakuondoka chadema kwa kupenda bali kwa kuudhiwa
  7. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete atumia Usafiri wa Bodoboda kuwafikia Wapiga kura wake walioathiriwa na Mafuriko

    WEWE KITENNGE WEWE!!!!,HABITH LAAMAAL
  8. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Uhamisho hasa Ulilenga Wakurugenzi wenye hati chafu report ya CAG mwaka huu

    Andika wewe ukweli tuusome
  9. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Pia kuna muda wao kusaga meno, believe in me,muhimu wapewe maisha marefu
  10. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Makamba Jr ni hazard kwa taifa letu
  11. wakatanta

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    Nchi ya vilaza, wanasiasa ni nuksi sana
  12. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Miaka 16 imepita haijajulikana nani alimmwagia tindikali Saed Kubenea

    Marekani pamoja na ubora wao kwenye issues za kiuchunguzi kupitia CIA na FBI mpaka leo hawajatoka hadharani kutuambia nani alimuua rais JF Kenerd, Endelea kujifunza
Back
Top Bottom