Recent content by wakaliwetu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

    Hawata sema mabeberu kweli?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msekwa kudai kwamba Salum Jecha alifuta uchaguzi wa 2015 peke yake ni Uongo

    Hivi huwa kwanini hawa viongozi wastaafu huwa wanatoa kauli zinazo pingana na waliyoyafanya wakiwa kwenye nafasi za utawala?!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tukiwa Ufaransa kuna vijipesa tumepata pale kwa ajili ya kumalizia miradi

    Kama hatujapanda na kuku humo sijui kwakweli, nakumbuka abiria wa Songea duh!🤣🤣🤣🤣
  4. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Niliandika barua ya kujiuzulu Uwaziri baada ya kuona mambo hayaendi Wizarani

    Acha aisee jamaa anadharau balaa na wakati huo alikuwa waziri, tumwachie Mungu naamini ktk Mungu atakuja kubadilika baadae.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Niliandika barua ya kujiuzulu Uwaziri baada ya kuona mambo hayaendi Wizarani

    Aksante sana na madharau yalimponza alicho tufanyia Muhimbili na marahemu Baba yangu sitamsahau huyu jamaa.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

    Ajabu sana na ndio tunawategemea ktk kutulinda
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wapi zipo ofisi za Uhamiaji Dar?

    Jirani habari za leo nenda mpaka uwanja wa taifa shukia kituo cha uhasibu kama umetokea upande wa Buguruni, ukitokea upande wa mjini shukia kituo cha Jitegemee JKT Sekondari. Hapo ukiwa umetokea mjini upande huo huo kuna njia inakata kusoto kwenda kuungana na kurasini shimo la udongo mita...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

    Safi sana Rais wetu analindwa aisee, ngoja na mimi nijitafutie ulinzi wa Mungu wanitosha
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nabii Shila akiwa na bintiye wa kiroho

    Kama hana mke na wamekubaliana na wanataka kuianzisha familia yao tuwapongeze hayo mengine ni yakwake hayatuhusu, sisi atufundishe neneo na tulishike neno.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

    Mimi naamini kabisa ukitaka kufuga utaweza kikubwa utambue na ujielewe unataka kufuga kwa malengo gani. Mara nyingi sana nawashauri yeyote anae taka kuanza ufugaji kwanza tafuta wafugaji ambao wamesha kutangulia kwa kadiri ya mfugo unao taka kuufuga, njai hiyo itakusaidia sana kuzijua...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

    Upo mkoa gani ndugu?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

    Nafiki kuna mahala kwenye ubongo za watawala wa kiafrika kuna maji maji yamekauka sio bure aisee, jamaa anajikubali kiasi hata anaye mshutumu hajui pakuanzia.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

    Mungu aibariki kazi ya mikono yako udumu.
Back
Top Bottom