Recent content by wakali kwanza

  1. wakali kwanza

    Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    Tukutane 25 October maliza hasira zako pale kwa kupiga kura katulie nyumbani usubil matokeo usanii na uongo wa Ukawa/CCM mwisho siku hiyo
  2. wakali kwanza

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Nimekuelewa sana mkali,japokuwa picha ni za zamani lakini mambo ni still the same....hali inatisha
  3. wakali kwanza

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Sasa hapo ndio ugundue kuwa siasa is a game kisa diamond ametumbuiza CCM chadema hawawez kumchukua kutumbuiza kwenye mikutano yao....lengo la diamond ko uwa pale ni kutumbuiza na si kumuomba mtu aichague CCM au UKAWA
  4. wakali kwanza

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Ikumbukwe kuwa diamond is a businessman and biashara yake kubwa kabisa inayomuingizia pesa ni muziki sasa kama alipewa kazi na CCM unataka asiifanye kisa nini kumbuka biashara yake haichagui nani wa kumuhudumia he is like the whole seller na sio Niche businessman
  5. wakali kwanza

    Ushindi wa Magufuli utaletwa na UKAWA

    So what kama ni wakristo
  6. wakali kwanza

    Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    ili tusonge mbele yatupasa kuwa wawazi na wakweli toka ndani ya nyoyo zetu. Lowasa tumemjua kuwa ni fisadi kwa miaka takriani nane sasa au zaidi. Tumemjua kuwa si fisadi kwa siku zisizozidi hamsini. Ushaidi wa kuwa yeye ni fisadi upo dhahiri. Ushaidi wa kuwa yeye si fisadi unafichwa. Nitakuwa...
  7. wakali kwanza

    Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    Yaan wanawake wengine jaman yaan kutongozwa shida usipotongozwa uanze kujihisi pia sasa unataka iweje....tongozeka watu wapime oil
  8. wakali kwanza

    Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Mimi kwa maoni yangu kwa watanzania wenzangu ni kuwa makini yaana CCM wanajua fika wanapoteza ni kamchezo tu wanataka kucheza kwa kumuweka Mr. Pombe sababu anapendwa na watanzania walio wengi kwa utendaji wake wa kazi hivyo watu watajisahau mabaya yote yaliyosababishwa na uongozi uliopita, nchi...
Back
Top Bottom