Recent content by wajinawangu

  1. W

    Tanzania yatengwa rasmi na nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC )

    ni ujinga kuamini kuna EAC bila ushiriki wa TZ.
  2. W

    CHADEMA, uislam na waislam!

    Ukiangalia ushiriki wa Dr slaa kwenye MOU,kauli ya Mchungaji Msigwa kule Iringa,Message zilizokisambazwa na kanisa wakati wa uchaguzi 2010,nk ni baadhi tu ukiitaji mengine utapewa.Ki ufupi waislam hawana imani kabisa na CDM hata kama kuna baadhi ya Waislam wako CDM.
  3. W

    Upotoshaji wa Juliana Shonza na kundi lake kwa vyombo vya habari...

    Ni ujinga kumuamini Ben saa8, wakati yeye ndo mwanzilishi wa PM7.Nasema tena ni upumbavu uliopitiliza kumuamini huyu jamaa! hana sifa ya kuaminiwa tena.
  4. W

    Naomba ufafanuzi juu ya mkopo aliochukua(?) Dr.Slaa kutoka kwenye akaunti ya CHADEMA

    Ukigusia swala la PESA kwa Dr slaa basi jua umetukanwa! kwasababu huyu jamaa ni fisadi mkubwa kuanzia alivyokuwa jimboni kwake hadi sasa, yeye kujikopesha ni kazi rahisi sana!
  5. W

    Sakata la gesi mkoani Mtwara ngoma bado mbichi

    Nimefurahishwa na msimamo wa Wanamtwara!! Hapo hakuna cha CHAWENE wala aliyomteuwa!
  6. W

    Barua ya Kumfukuza Juliana Shonza na aibu kwa BAVICHA

    Kwa nionavyo mimi,CDM watachafuliwa na hawa wanaojiita BAVICHA,wajinga kabisa wanashindwa kuhandle hizi issue kama wakongwe wao.Ebu angalia aliyoyafanya Shibuda,Zitto na Dr Slaa ktk kuhaibisha Chama lakini bado wanavumiliwa na Chama kinaendelea,lkn hawa BAVICHA ni upuuzi mtupu!
  7. W

    Mtwara inakuwa ni twisting point ya siasa zetu

    wana mtwara hakuna kurudi nyuma!! hawa wanasiasa wanaleta usanii kila kona ya maisha.
  8. W

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Binafsi naona hoja zinazotolewa na huyu jamaa anayeitwa Mohamed ni kama kuna ukweli sana. Lakini tatizo kwanini wao wenyewe wanaikubali BAKWATA? Na pia kwanini waislamu wanakubali kutumika na CCM?
  9. W

    Taarifa kwa umma juu ya shutuma za katibu wa zamani wa BAVICHA mkoa wa Tanga dhidi ya CHADEMA

    Povu tupu wewe uliyepost! Hivi CDM kila mtu ni msemaji wa chama? alafu kutuambia suala la kadi 2 la Dr ni zuga tu,uhenda wewe pia umetumwa kumsafisha, tutaaminije? Umeonyesha udhaifu mkubwa kukurupuka kutaka kuelezea maisha ya mtu baada ya kuhama CDM,kwanini usieleze kabla hata hamjampa nafasi...
  10. W

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    Nimesikitishwa hata pesa za Wale vijana waliopigwa risasi? dah hapana, tunamuhitaji aje aweke mambo sawa hapa.
  11. W

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    Hapana nasema tena hapana!!! CHADEMA lazima kuna tatizo! lakini kwa kuwa munatahadhalishwa mapema kabla ya 2015, hiyo ni faida kwenu kama mutafanyia kazi. CHUNGUZENI HILI, WATU WAMEICHOMA CCM LAKINI MBADALA NDO TATIZO!!!
  12. W

    CHADEMA: Retreat ya kesho Moshi hizi ndio dondoo za kitakacho jadiliwa

    wasisahau na suala la kadi mbili ya katibu wetu!
  13. W

    Joseph Kabila, Rais wa Congo ni Mnyarwanda, Si Mkongo hata Kidogo

    Good and well explained,but we want sources please!!
  14. W

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Nakerwa na mijitu mbayo haitaki kuelewa kuomba radhi kwa huyu jamaa.Hivi ninyi si binadamu ambao pia munakosea wenzenu? acheni hizo, kukosea ni kwa kila kiumbe.aliyemkamilifu ni Mungu peke yake.
Back
Top Bottom