Recent content by wajibisha

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

    Nani kakuambia Raisi anahitaji clearance kupiga picha na Raisi mwingine?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Yanga iachane na Propaganda

    Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni. Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda. Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

    Mange Kimambi ni mtanzania anayeishi Marekani. Alijizolewa umaarafu kwa kupinga wazi wazi sera za Hayati JPM. Alishangalia kifo cha JPM na kuweka mitandaoni. Bila kujadili kama alikua sahihi kumpinga JPM kulikua na ulazima kwa wanausalama kumruhusu kupiga picha na Raisi Samia. Kulikua na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kujaza uwanja ufungwe rasmi

    Wewe Topolo Sikia Simba ni taasisi na hakuna kibaya kutumia event management company kufanya mambo yetu kiueledi zaidi. Tuliza mshono Topolo
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kujaza uwanja ufungwe rasmi

    Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja. Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki. Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena. Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

    Hii introduction ilinisisimua sana
  7. W

    JamiiForums Tanzania Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

    Daaah nakumbuka mashairi haya Barca akifa mbele ya Roma
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ubashiri: Rivers United vs Yanga

    Acha kufananisha Simba na vitu vya hovyo hovyo
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ubashiri: Rivers United vs Yanga

    Rivers United Vs Yanga Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki. Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam. Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani. Tupia ubashiri wako hapa chini. Wangu Ni...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Utopolo Bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. W

    JamiiForums Tanzania Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

    Sasa itakuaje wakitolewa [emoji23]
  12. W

    JamiiForums Tanzania Amsha Amsha Simba Day mwaka huu si Mchezo

    Leo nilikua natembea mitaa mbali mbali ya jiji la Dar. Kusema ukweli mwaka huu amsha amsha huku mtaani si mchezo. Hongera kwa uongozi wa Simba kwa kujipanga safari hii maana Simba Day ni tamasha kubwa nchini. Kila Kona ni Simba Day. Natamani ifike hiyo tarehe 19 tukuburudike wana msimbazi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Duuuh sasa hao wahabeshi si wanaenda Sauzi? Inakuuma nini mkuu
  14. W

    JamiiForums Tanzania Predictions: Yanga Vs Rivers United

    Kwa timu gani umfunge mtu 6?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Predictions: Yanga Vs Rivers United

    Umetisha Mkuu
Back
Top Bottom