Recent content by waikera

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Hii siyo nzuri
  2. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

    Mm nipo tayari DINI yangu Islam ni MTU nzima zaidi ya 50 nitafute online tumalize mambo. Baba mtarajiwa.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, kwanini unapenda kututisha wananchi wako?

    Mkwepa kodi vipi zile mbwembwe za makusanyo ya mapato ya matrilioni hatuzisikii toka mwezi novemba au mnangoja mkusanye na za madawa ya kulevya ndiyo mje kutangaza pamoja?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Hakuna sheria inayokataa mikutano ya kisiasa baada ya Uchaguzi

    Kwahiyo mitano ya vyama itaanza mini hata cc huku kwenye nchi hakuna raga bila mikutano, tumesherehekea miaka 40 kavu kavu, vipi...???
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mkristo na mpenzi wangu ni muislam na tunataka kuoana ila ndugu zake hawataki

    Silimu haraka use muislam utapata fadhila nyingi toka kwa MUNGU wako wa kweli, kisha muoe.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania anao uwezo kuzuia Bunge kumvua madaraka?

    Yote yote yanawezekana MUNGU akipenda maana yeye ndiye mbadilishaji wa nyoyo za wanadamu. Yanasemwa hayo leo hata miaka mwili bado kweli tumeingia mkenge!!!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kuondoa aibu Utawala wa Afrika

    Wewe una akili sana I surpot u, bigup
  8. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Lowasa sio fisadi, ni mtiifu kwa viongozi wa juu yake, lkn hata seriakali ile na hii wameshindwa kumpeleka kwenye mahakama ya mafisadi ingawa ipo kwa sbb yeye SIO FISADI isitoshe alishawahi kusema YOU DONT HAVE EVIDENCE SHUT YOUR MOUTH. Mmejaribu sana kutaka kumchafua lkn mmeshindwa NYOTA YAKE...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoa za kihindi jamani!

    Siyo dhambi
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga amrithi Migiro Ukatibu wa NEC CCM

    Nilikuwa nafikiri akiondolewa RAJABU awekwe RAMADHANI siyo arudishwe tena RC maana nimeona post nyingi walizotolewa kina ABDALLAH hakurudi tena wa aina yake.
  11. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    Mm siamini kama huyu bwana ni kada wa kweli wa chadema na ana uchungu na Ben na hapendelei uhalifu/uovu kwann asiende polisi kwa siri akawasaidia polisi ktk intelejinsia yao hadi wahusika wakamatwe! Hii ndiyo maana polisi wanataka kuwajua wachochezi model hii wanaosumbua vichwa vya watu. Acha...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Watoto wetu wakifundishwa mbinu za kujihami, ukakamavu na kujilinda na adui wanaitwa magaidi!!!! hii tz ya RC bana ni hatari
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa ndege 6 ulipangwa bajeti ipi?

    Yanini sasa kuwa na sheria ya manunuzi? kumbe kazi ya kununua inaweza kufanywa na mtu mmoja tu na wala asihojiwe kwa kisingizio cha nia njema.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kigogo Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro ahukumiwa miaka mitatu jela au faini ya 700,000

    Kama sheria imetaja faini ndogo Hakimu afanyeje, abadilishe mwenyewe!
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

    Wengine inasababishwa na kukeketwa, wengine ni tatizo la ukhanithi na wengine ni kutokana jinsi walivyoumbwa yaani huwa hawajihisi nyege wala hamu ya kukutana na mwanamme. Pole sana, kama hujatosheka niulize.
Back
Top Bottom