Ili kuondoa aibu kwa utawala wa kiafrika ambapo uchaguzi wa kidemokrasia unafanyika lakini matokeo ya kura hayaendani na kilichofanyika katika mabox yawapiga kura kama ilivyotokea Gambia, Zambia na kwingine kwingia na kupelekea nchi za kiafrika kuingia katika machafuko na kuathiri maisha ya wananchi, wengine hawana habari kabisa na kinachogobaniwa, napendekeza yafuatayo:
- Umoja wa Afrika ukubali kuwahili nitatizo naiabidi lifike mwisho
- Nchi za Afrika ziwe na (Standarad Constitution) katiba ya aina moja ikielezea utawala, vipindi vya kuongoza mfano, miaka 5 na kuzuia kabisa kiongozi yeyote kubadilisha katiba kwa asilahi yake.
- Kuwepo tueme ya uchaguzi ya Afrika itakayosimamia chaguzi zote za Afrika, Wajumbewaombe kaziwaingie kwa CV
- Kuwepo Electro - Security Force ya Afrika itakayosimamia chaguzi nakuhakikisha mshindi anapata haki yake.
- Kuwepo mahakama ya kesi za uchaguzi ya Afrika itakayo sikiliza na kutoa haki kwa mashauri ya uchaguzi
- Kuwepo Magereza ya Afrika ya kuwahifadhi wanaovuruga amani yawaafrika kwa akusudi.