Recent content by Waduma

  1. W

    Nilidhani itanifanya nibadilike sasa yamerudi yale yale

    Kila mwenye moyo wa nyama lazima apende haijalishi...mkuu kama ipo ipo tu japo hutakiwi kumwonesha obvious...
  2. W

    Nisaidieni Huu Ubishi

    Namshinda sababu balance yake haitakuwa nzury Kama yangu
  3. W

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Siku zote penye ukweli uongo hujitenga namna ya kuthibitisha ukweli ni kuwa na chanzo cha kuaminika...tuhuma zijibiwe wazi
  4. W

    Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

    Sijawa mwenyeji kwenye hii familia Bali kwa mda nuliyo kaka humu kila mtu kwa comments zake humu ndani ziko poa.so kwangu wote wako vizuri na sijajuta kuwa mwanafamilia..hii
  5. W

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Nadhani hata anayetuhumu hajaweka obvious zaidi ya kusema ushahidi anao...sasa kwa kumtaka mheshimiwa aweke vyeti wazi kwa uelewa wangu wa darasa la saba nadhani anayetuhumu nae angeweka vyeti wazi ili kumpa urahisi mheshiwa namna ya kukanusha...lakini hii y sasa ni tuhuma tu ambayo bado ukweli...
  6. W

    Tusimuhusishe Rais na makandokando ya dogo wa Dar es salaam- dogo awajibike hana moral authority

    Every person with power always anahitaji kuweka peculiar feature ambayo atakumbukwa kwayo na kuwa appreciated... and I think that ndo film inayoendelea hakuna anayemtuma mtu ni mawazo yangu tu hayo wadau wa JF..
  7. W

    Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Ukitaka kupata takwimu shihi Fanya mahojiano na waliyimaliza chuo tangu mwaka 2014...waalimu pia naamini majibu yataridhisha.
Back
Top Bottom