Recent content by Wachuma

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwanaume awapa sumu watoto wake watatu na wote wamefariki

    Wote wanga hao
  2. W

    JamiiForums Tanzania House girl nafasi ipo

    Yupo ila anataka kwenda na kurudi
  3. W

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA WAHUDUMU WA BAR

    Umekwishatosha nao?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nina milioni 2, nifanye biashara gani?

    Angalia Uzi ametoa bwana sijui bibi Stunter ametoa orodha kadhaa wa kadha biashara mtu unaweza chagua na kulingana na mtaji ulio nao.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wamemshauri Sam Mahela apunguze kuvaa suti za kung'aa

    Acheni mambo ya kufatilia watu,kila mtu na maisha yake,pia cha muhimu ni kazi yake anaifikisha vipi kwa jamii...ila swala la mavazi personality na vingine si muhimu,acheni kukurupuka..wake up you dumb'
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Wekeza pia kwenye hisa mojawapo huku Tz kama Twiga, UTT, ziko nyingi utapata faida. Ila usijikite kuwekezaTOL utajuta.
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za kinamama zinazoniudhi

    Daaa jamani hii kali.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za kinamama zinazoniudhi

    Hujiamini lazima
  9. W

    JamiiForums Tanzania MWANANYAMALA, DAR: Mtoto ang'atwa na mbwa baada ya mwanamke kumuingiza ktk banda lenye mbwa wakali

    Sijui watu wakojee kukurupuka soma kwanza
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mbagala: Ajali mbaya yatokea ikihusisha lori na costa, watu kadhaa wapoteza maisha

    Mungu wetu tusaidie na vyombo hivi vya moto pepo wa ajali aangamie kuzimu. RIP marehemu, moyo we ujasiri peweni wafiwa wote.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nauza majiko Sanifu ya mkaa

    Ntahitaji moja niko Dar.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

    Haleluya
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Tks
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Ukurasa huu ushafungwa? Watu washaanza kazi?
Back
Top Bottom