mjadala wa BURE, jamaa kaleta hoja, watu wanabadilishana mawazo pamoja na kutanuliana misuli ya timu zao za majuu, wakati dili bado halijagongwa muhuli, NOMA sana, huu ni uswahili uliyopitiliza, lakini tena, ndivyo walivyo waandishi wetu, pamoja na hayo tunashukuru utandawazi kwa kutuwezesha...