Anahitajika muhasibu kufanya kazi kwenye kampuni ya clearing and fowarding pamoja na usafirishaji. Mwenye sifa atume CV na vyeti kwenye email hii; info@endabashfreighters.com
Habari wakuu.
Naomba ushauri kwa wenye utaalamu na gearbox za automatic.
SIku za karibuni nimepata changamoto na gari yangu Toyota Vanguard kwenye upande wa transmission.
Wakati wa kubadili gear au nikipunguza mwendo sana gari inakita, nimebadili mounting mbili lakin tatizo bado halijaisha...
Wazee wa fununu kazini, eti za ndani🤣🤣 Mkuu ulibahatika kuisikia hyo simu kutoka umoja wa ulaya? Huu uchaguzi kuna watu mtaachwa na stroke msipokua makini, mihemko imewazidi. Wajumbe wanawachora tuu wanangoja 21.01 wale kichwa
Habari wana jamvi,
Naomba kwa wenye ujuzi na uzoefu wa magari tusaidiane mawazo. Toyota vanguard inachanganya maji na oil. Kabla ya kufikia hatua hii ilikua inakula oil sana, kabla ya kilomita 3000 nusu ya oil imepotea.
Juzi imeanza kuwa na miss sana ikitembea kama 5km inazima. Leo nimecheck...
Habari wakuu
Naomba msaada kwa wenye uelewa na sheria za kodi. Nimenunua gari ambalo kabla yangu kuna wamiliki watatu.
Kadi ya gari haioneshi kama ina msamaha wa kodi, nimefanya mabadiliko ya umiliki na yamepita vizuri na kadi mpya nimepata ikiwa na details zangu.
Wiki tatu baadae napigiwa...
Wakuu hiyo kitu inanitesa sana, nimetumia sonadem sana pamoja na intraconazole lakin siponi. Inapotea kwa muda mchache nisipotumia dawa hali inajirudia. Mwenye tiba ya kudumu tafadhari msaada wako unahitajika sana
Wakuu habari,
Kwa zaidi ya week sasa nimekua nikisumbuliwa na tumbo. Linajaa gesi na kwa upande wa kushoto chini ya mbavu napata maumivu. Nimetumia dawa za kuondoa gas lakin matokeo bado.
Ushauri wenu wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.