Recent content by WA-UKENYENGE

 1. WA-UKENYENGE

  Simulizi ya kutisha zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni

  Atakuwa kafuatwa na hao watu waliokufa...End of the story
 2. WA-UKENYENGE

  Ninatafuta shule nzuri ya msingi (English Medium)

  Mpeleke Meso Day Care...Iko mkabara na Hospitali ya Sinza
 3. WA-UKENYENGE

  Ushauri: Mpenzi wangu ataniua!

  Ashukuru umemsaidia kweli hapa. Sijui kapotelea wapi. Come back dude and get this for you!!
 4. WA-UKENYENGE

  TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

  Mkuu nawewe unaamini hiyo report ya PAC?
 5. WA-UKENYENGE

  Hatimaye Dstv washusha vifurushi sasa ni Tsh 9,000 DSTV Poa

  Atakuwa kafukuzwa na Talliban...wazee wa kazi!!
 6. WA-UKENYENGE

  Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

  Majibu mepesi kwenye maswali magumu!!
 7. WA-UKENYENGE

  TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

  Apumzike kwa amani, Warumi. You will be missed Mkuu.
 8. WA-UKENYENGE

  Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

  Mkuu kuna jambo haliko sawa...kwamba unasema umeamua kuachana na siasa za Tanzania ili usubiri wengine waamue nini utalipa katika kila muamala? nini utalipa utakapoingiza bidhaa kutoka nchi? Umechagua watu waamue kwa niaba yako ili juu ya maisha yako ya baadae wakati bado unaweza kufanya kitu...
 9. WA-UKENYENGE

  Maajabu Dar City Centre

  Enjoy reading your article!!!! You could write a very nice book/guideline book about the city of Dar es salaam. Congole Mkuu.
 10. WA-UKENYENGE

  TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

  Pumzika kwa amani Mhe. Dkt. Mzindakaya
 11. WA-UKENYENGE

  Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) mnatia shaka kwenye hili, zile tafiti bora kabisa zimeenda wapi?

  Interesting...nadhani siyo UD pekee bali jamii kama jamii kuna sehemu dishi liliyumbishwa na sasa ndiyo matokeo yanaanza kuonekana wakati tukihitaji majawabu ya matatizo sugu bila kukumbuka tulikoyumbishwa dishi.
 12. WA-UKENYENGE

  Baada ya Chato sasa ni zamu ya Zenji Kula

  Huu ni Muungano wa nchi mbili ambazo ziko sawa kihadhi kama nchi....kwahiyo Watanganyika naomba tutulie dawa ituingie sawasawa.
Top Bottom