Simulizi ya kutisha zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni

Simulizi ya kutisha zaidi kuwahi kutokea ulimwenguni

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,602
Simulizi ya kutisha zaidi kuliko zote ulimwenguni!
Iliandikwa ikiwa na sentensi mbili tu; Mtu mmoja aliyesalia baada ya vifo vya watu duniani muda huu akiwa kajipumzisha kitandani kwake usiku. Mlango wa nyumba yake ulisikika ukigongwa"
gettyimages-720117781-612x612.jpg
 
Mi mbona naona sentensi moja Tu au sikufundishika vizuri shuleni?!! Mwalimu aliniambia sentensi moja huitimika Kwa uwepo WA nukta, mkato ni 'pozi' Tu lakini kinachofuata hakijitengi na kilichopita.
 
Mi mbona naona sentensi moja Tu au sikufundishika vizuri shuleni?!! Mwalimu aliniambia sentensi moja huitimika Kwa uwepo WA nukta, mkato ni 'pozi' Tu lakini kinachofuata hakijitengi na kinachofuata.
Mmh! Mkuu, labda umeusoma vibaya! Mbona nukta ipo!!?
 
Mi mbona naona sentensi moja Tu au sikufundishika vizuri shuleni?!! Mwalimu aliniambia sentensi moja huitimika Kwa uwepo WA nukta, mkato ni 'pozi' Tu lakini kinachofuata hakijitengi na kinachofuata.
imebidi nicheke mkuu. Utakuwa ume comment bila kusoma.
 
Back
Top Bottom