Recent content by wa old moshi

  1. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

    Mbona una mawazo ya ajabu ivo?
  2. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Hatimae rufaa kesi ya zombe imesomwa leo

    [emoji22]
  3. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Hapo jibu ni simple sana Ila cna muda wa ku type
  4. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Narudia tena .... Maandiko yameandikwa baada ya matukio kutokea c wakati matukio yanatokea... Ivyo vyote vilivyoko kwa Bible ni baada ya kutokea ndipo vikaandikwa Kingine ni kwamba Naona unajarib kulazimisha fikra zako kuhoanisha maisha ya BC na Sasa
  5. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Kuna uongo gan hapo [emoji15] [emoji12]
  6. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Kwa ninavo elew japo nikidog Haya maandik yameandikwa baada ya hayo matukio kutokea.... Iyo miaka 120 aliyo pewa mwanadam ni baada ya mwanadam ku muhuz Mungu ,hii inamaanisha walio ishi hawal walihish kwa muda mrefu zaid ... Kumbuka!! Maandiko yameandikwa baada ya matukio kutokea c wakati...
  7. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Naomben mnipe list ya technical schools (O-level) zilizopo Tanzania especially za Private

    Habari!! Naomben unisaidie kunipa list ya shule za o level ambazo mwanafunz anawez soma kwa vitendo zaid ... Nina Mdogo wangu anapenda sana mambo ya electrical na anauwezo mkubwa sana wa ku deal na vitu ya ki electronics..sas iv yupo kidato cha pili Ameanza ku deal na ivi vitu tangu akiwa Mdogo...
  8. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

    Unajua kwenye hii Dunia sometimes kujifarij ni muhim
  9. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Mbowe Hotel Ltd na NHC ni wa muda mrefu..

    Dawa ya deni ni kulipa den........
  10. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Picha: Mfanyabiashara arundika pesa huko Mbeya mpaka zamuharibikia

    Ivi kuna ukwel wowote hapo
  11. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani wa mapenzi ukiusikia unahisi kama umeimbiwa wewe?

    BACKSTREET BOYS "How Did I Fall In Love With You?"
  12. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Ndege za kijeshi angani muda huu ni vitisho kwa wananchi?

    Yan Ziro kabisa [emoji22]
  13. wa old moshi

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kupatwa kwa jua kuwa Njombe dunia nzima?

    Kifup ni kwamba litaonekana almost Tanzania nzima ila Njombe ndio litaonekana vizur zaid ya 98%
Back
Top Bottom