Recent content by Wa matejo

  1. Wa matejo

    Maandamano ya Februari 20 Mbeya, kiongozi wetu atakuwepo nchini?

    Duh! Hawa jamaa wanatisha sana!
  2. Wa matejo

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Huo ni uonevu mkubwa sana!Sijui kwanini Hawa watu waliopitisha Hii kitu hawana hata hofu ya Mungu kwa KUFANYA dhambi kubwa kiasi hiki!Hakika hiki kikotoo kinatakiwa kipingwe na Kila mpenda Haki!
  3. Wa matejo

    Wimbo wa Taifa ufanyiwe marekebisho

    Binafsi huwaga siimbi hip ubeti wa kwanza!Hauna maana yoyote ile!Ni vema ukaondolewa kabisa ubaki huo wa pili!
  4. Wa matejo

    Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Heri ujinga kuliko upumbavu!Maamuzi na maelekezo ya mahakama yako wazi sana!lakini.....mh!hizo comment zingine duh!hakika tutafika tuendako tukiwa tumechoka sana!Ni heri enzi zile za chuo kikuu kimoja!
  5. Wa matejo

    Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

    Kimsingi aliyeharibu maisha ya watanzania wengi ni huyo ndugu aliyempokea JK kijiti!Sina hakika kama mambo yatakuja kukaa Sawa tena!Tuendelee kumuombea mama kwani hata yeye hana namna kwa vile alikuta kila kitu kimevurugwa!
  6. Wa matejo

    Nchi ambazo hazina Viwanja vya Ndege

    Dah!Hili darasa tosha!Big up Nshomire uko vizuri sana Mugurusi!
  7. Wa matejo

    Jokate na Lulandala kuimaliza CHADEMA! Nawaamini kwa mipango na Propaganda

    Kwani cdm si iliisha kwisha kipindi cha mwendake?Au kuna nyingine ya kumalizwa na hao watu?
  8. Wa matejo

    Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Nadhani ungewapigia kelele hao walioko madarakani! Mbowe chama chake hakijawahi kushika dola bado! Mkuu hebu tulia kwanza utafakari vizuri utakuja kuona kuwa unamkosea huyo mwamba bila sababu yoyote!
  9. Wa matejo

    Mzazi asiyejielewa ndiye atampeleka mtoto wake Pre-form one

    Hiyo pre form one ni wizi wa kiwango cha sgr!Nadhani serikali hususan ni wizara ya elimu inatakiwa kukemea huu uhuni!
  10. Wa matejo

    Azam TV wana mtu anaitwa Faraja Sendegeya huyu ni nani?,naomba profile yake kwa anayemfahamu

    Ni kweli jamaa anaijua kazi yake vizuri!Hana muda wa kuzunguka zunguka na pia anauliza maswali yenye hoja!Namkubali sana huyu mwamba!Pia kuna jamaa mmoja yuko kule Star TV naye anajitahidi!Nadhani anaitwa Odemba!
  11. Wa matejo

    Leo Agosti 14 ni Siku ya Mjusi Duniani

    Happy birthday Kenge wote!
  12. Wa matejo

    Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Wakuu nadhani Mada hapo juu inajieleza naomba mnisaidie isije ikawa huyu wakala kanipiga!Leo nilienda kutoa hela kwa wakala wa halopesa lakini nikakuta ujumbe unasema tozo ya serikali kiasi cha shilingi 306.00 kimekatwa! Nawasilisha!
  13. Wa matejo

    Tuseme tu ukweli, Dkt. Slaa kadiri anavyozeeka anazidi kuvurugika

    Huyu Dr anazeeka huku akili ikikomaa zaidi!Hongera kwake!
Back
Top Bottom