Recent content by wa baha ela

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nihurumieni mwenzenu nakufa

    Bado upo?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    muda huu link haifunguki hata kidogo, wewe unatizama vp?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    Kwa hiyo bora akae nje au hostel za ndani?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    Ok, izo nyingine nampa anavoondoka
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    Daah itakua poa sana kama mnawajari wageni kiivo. Mdogo angu nimempa laki 4 tu, kwa sasa anasubiri admission letter coz haijafika. Ila jpili atakua safarini kuja moshi.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    Dah, poa wa ukweli, ila parefu!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    poa poa, vp kuhusu ada ya mwanzo ya kuanzia? na unajuaje kiasi cha mkopo unacholipiwa na bodi ukizingatia muda umekwisha wa kuripot ambayo ni tarehe 27. Bachelor of science.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    Kuna yeyote aliyepata joining instruction au admission letter? maana tarehe 27 kesho kutwa ndio siku ya first year kuripoti.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    vp kuhusu kupata joining instruction?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe juu ya marks hizi za form 6

    Kama ndugu zako wanavolima kule kijijini kwenu.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe juu ya marks hizi za form 6

    Hahahahhhhaahh! lazima apaniki coz hakuna anayependa mwenzie akipata.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe juu ya marks hizi za form 6

    Usilolijua ni usiku wa giza, hatimae kapata chuo na wale wenye division 3 walijiamini sana wamekosa first selection wanasubiri second.. "Mawazo ya watu changanya na akili yako".
  13. W

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe juu ya marks hizi za form 6

    Kiongoz shadcore, kitabu kilichopo TCU ukurasa wa 10 kinasema 1. For the new grading system ‘A’ to ‘C’ is PRINCIPAL PASS while ‘D’ is PASS 2. For an applicant to qualify to join higher education institution MUST have at least two D’s in form Six examination from core subjects. This applies to...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Finally Huawei E303 unlocked

    Nilikwisha fanikisha
  15. W

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe juu ya marks hizi za form 6

    Asante mkuu, je hawezi pata hata chuo cha ualimu?
Back
Top Bottom