Mkuu, hebu tusaidie, kwa ufahamu wako nchi ya Israel iko wapi, na Palestina iko wapi? Hivi ni haki Wapelestina kudai hiyo Israel/Palestina ndiyo nchi yao Wapalestina? Hata kama sheria za kimataifa zinasema kuwa Wapalestina nchi yao ni Israel/Palestina, kihistoria kuna ukweli?
Inakuwaje mfalme...
Inatisha kuwa na viongozi wanaojua kukariri tu walichoandikiwa bila kuwa hata na ufahamu kiduchu na akili ya utafiti juu ya walichoaminishwa.
Mimi mwenyewe niliamini kuwa amekosea, kuwa huenda mwenza amefia Dar. Ngoja tujipe muda, wajuvi watuambie labda kuna Mzena hospital Zanzibar.
Vv
Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
Pascal, mfumo wowote imara unazalisha viongozi bora, mfumo wenye matobo-matobo kama huu wetu, ni nasibu kutoa viongozi bora. Sitaki unijibu hili swali maana ukijibu hadharanu utajibu kinafiki: je, huyu tuliye naye kama mkuu wa nchi, ni kiongozi bora?
Vv
Watawala wanataka kuviza hadi fikra za watawaliwa. Wanawataka wanataaluma aina ya Prof. Kabudi ambao wanaamini kuwa kuwa vyuo vikuu vya umma ni majalala.
Vv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.